Wasanii Roma&Stamina (Rostam) Waanza Rasmi Kampeni ya Kununua Ventilator

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Tumeanza Rasmi Kampeni Yetu Ya KAKA_TUCHATI VENTILATOR_CHALLENGE Tunaomba Mashabiki Zetu Mkawe Sehemu Ya Kampeni Hii Kufanikisha Zoezi la Kupata Pesa Itakayoweza Kununua Ventilator Machine.

Changia Kiasi Chochote Kile Kwa Kutuma Pesa Kupitia Namba/Account Hizo Hapo [emoji116]
IMG_20200516_181609.jpg
 
Bora niwachangie hakina Mdude wanaomtukana shetani kuliko kuchangia hela kwa wezi.
 
Siwezi kuchanga kwa serikali hii ya CCM, CCM walikuwa wakigawa barakoa ,chadema wakigawa wanakamatwa,hiyo hela hata ukichangwa itadhulumiwa kwa hao vijana
 
Tumeanza Rasmi Kampeni Yetu Ya KAKA_TUCHATI VENTILATOR_CHALLENGE Tunaomba Mashabiki Zetu Mkawe Sehemu Ya Kampeni Hii Kufanikisha Zoezi la Kupata Pesa Itakayoweza Kununua Ventilator Machine.

Changia Kiasi Chochote Kile Kwa Kutuma Pesa Kupitia Namba/Account Hizo Hapo [emoji116]View attachment 1451924

Mimi siwezi kuchangia MASISIEMU.
 
Tumeanza Rasmi Kampeni Yetu Ya KAKA_TUCHATI VENTILATOR_CHALLENGE Tunaomba Mashabiki Zetu Mkawe Sehemu Ya Kampeni Hii Kufanikisha Zoezi la Kupata Pesa Itakayoweza Kununua Ventilator Machine.

Changia Kiasi Chochote Kile Kwa Kutuma Pesa Kupitia Namba/Account Hizo Hapo [emoji116]View attachment 1451924
Waanzee wao wakinunua hata 20 ndo na Mimi nanzaaa kutoa iyo hella ya vent 100. 😂😂😂😂👎👎👎👎👎👎
 
Mrejesho tafadhali![emoji2219][emoji2219][emoji2219]
 
Back
Top Bottom