Wasanii Tanzania bado

Wasanii Tanzania bado

bartenderznz

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
398
Reaction score
195
Msanii fulani ana bifu na fulani, fulani anasema hana bifu na fulani.Huyu anavunja ukimya na yule, huyu kampa makavu yule, mwengine nyimbo zake mbili mfululizo zimefungiwa kwa kukosa maadili.Hizo ndizo habari ambazo kila siku zinatawala kuhusu wasanii wetu hapa Tanzania. Halafu muniambie eti msanii ni kioo cha jamii, labda kuzimu, kwangu mimi hapana.
 
Back
Top Bottom