Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
toa credit panapohitaji credit .. sio kila kitu ulete u snitchesKualikwa? mafanikio? Kama yale yale yaJK kuwa rais wa kwanza wa kukutana na Obama ikulu ya white house! So what? Ongezea basi na .... wa kwanza kualikwa na Usher USA. Mitanzania bana....!
walikuwa na ndoto gani?Well done guys! Ndoto zinatimia.
Kualikwa ni mafanikio????????toa credit panapohitaji credit .. sio kila kitu ulete u snitches
inategemea kuwa ni mualiko gani.. hawa wanaenda kuperfom jukwaa moja na Usher.. usher ni msanii mkubwa sana duniani...Kualikwa ni mafanikio????????
Kujua lugha ya kigeni ni kitu katika maisha lakini si jambo la kumkosesha mtu usingizi,ndio maana viongozi wakuu duniani karibu wote wanajua zaidi ya lugha mbili,lakini tazama popote wanapokwennda lazima atakuwepo mkalimani...na kwa desturi mtu anathamini kwanza chake ndio maana ukiwa katika nchi ya kigeni,mfano Ujerumani,Ufaransa na ukawa una shida hata kama unajua kiingereza kuliko Queen Elizabeth basi usishangae kama utakosa mtu wakukupatiliza,na hao utakao wauliza sio kuwa hawajui,miongoni mwao wengi wanaongea kiingereza wanachofanya ni kuthamini cha kwao.ukweli wasiwasi wangu kwenye communication, na hivi wasanii wetu wengi wameishia form two, sijui itakuaje, au wamemchukua mkalimani?
ally kiba na r kelly imeishia wapi?????????/
kualikwa? Mafanikio? Kama yale yale yajk kuwa rais wa kwanza wa kukutana na obama ikulu ya white house! So what? Ongezea basi na .... Wa kwanza kualikwa na usher usa. Mitanzania bana....!