Wasanii tujue mipaka yetu tutofautishe sanaa na siasa

SIASA NDO MAISHA YETU HAINA MPAKA
 
Wewe kweli ni illegal immigrant, ya tanzania hayakuhusu tuachie wenyewe
 
Fasihi inaelimisha inaburudisha inaonya nk lakini mwanafasihi halipwi ili kumchafua mtu fulani.
Fasihi ni kioo cha jamii. Najua sote tunajua kazi ya kioo, wengi wetu hujitazama kwenye vioo vyetu ili kujua kama tumependeza au la.

Sijui kama ni sahihi kukilaumu kioo pale kinapoonyesha umejipaka kamasi usoni. Jukumu lako ni kujisafisha tu. Si kuvunja kioo !
 
This is a purely naive person in the forum!others we are in frontline to bring back your freedom,stay being a nanny at Lumumba,it's a matter of segregation of duties!we fade up of love-music we want movement-music!
Fade is loding color not to be tired of something. Take time to read what you post beforehand.
 
Fasihi ni sanaa itumiayo lugha kufikisha ujumbe kwa hadhira huyu mbwa alishasema amejitoa sadaka akamatwe akatupwe kwenye daraja la mkapa sasa nyinyi ni nani mnaomtetea, mke wake mwenyewe hajui yuko wapi nyi mnalaumu laumu mamlaka kwenye tungo zake amekashifu mamlaka na watu wengi tofauti tofauti ni vigumu kujua who the curlpits are ndiyo fasihi unayoyoiongelea hiyo?
 
Umeandika nini
 
Wasanii wana kaxi nyingi tu mkuu!!! Ni zaidi ya kuburudisha... Wanafundisha, wanakosoa na kuonya. Mambo yanayoendelea katika jamii yote yanawahusu...
 
Was it necessary to use english? The guy sang in one of his verses "nichinjeni mkanitupe kwenye daraja la mkapa" why bother looking for him then?
Unakumbuka nyimbo za Bob Marley na Luck Dube
Unakumbuka wakati wa uchaguzi 2015 ccm ilivyowatumia wasanii?
 
Mambo ya ngoswe tumuachie ngoswe mwenyewe.wasanii na wanamichezo ni bora mambo ya siasa tuwaachie wanasiasa wenyewe.kama msanii unataka kujiunga na siasa za moja kwa moja ni bora ikaeleweka hivyo.hiki si kipindi cha kupigania uhuru kama taifa
 
Nafikiri husomi historia Bob Marley na wengine wengi wamefanya siasa hasa za uwanaharakati hata bend nyng za Tz zimefanya hivyo labda uelewa wako
 
Tatizo lako hukusoma mada na kuielewa ili unapochangia uwe ndani ya mada. Pia lugha yako ipe staha kiasi. Tunajadili fasihi/sanaa na si mtu au mbwa km ulivyoandika
 
Nafikiri husomi historia Bob Marley na wengine wengi wamefanya siasa hasa za uwanaharakati hata bend nyng za Tz zimefanya hivyo labda uelewa wako
Huyu marley aliuawa na CIA mambo ya kujitia uana harakati mwishowe unaiacha familia yako
 
Maskini hujui hata unachokiandika mziki sio kuimba mpnz ndugu yangu mziki nikuelimisha kukosoa na kufundisha siasa haiepukiki sehemu yoyote ndomana rais wa nchi anapatikana kupitia siasa wapo wasanii wa kubwa dunia hii kama bob marley nyimbo zake nyingi zilokuwa ni zakisiasa paka nyerere aliwai kumpa mkono bob marley jinsi alivyogusa hisia.lucky dube nyimbo nyingi nizakisiasa hiphop young j mmarekani aliwai kuimba nyimbo zinazohusu siasa za marekani unavyosema ivyo inaonekana wewe hujui na ujafanya tafiti move ndousiseme zipo nyingi sana
 
Unafananisha nchi yenye maraisi wa awamu tano (Tanzania) na nchi yenye maraisi zaidi ya awamu 40 Marekani huyu kaka nyimbo zake anashambulia shambulia watu wakubwa kwa tuhuma nzito ambazo naamini akiambiwa athibitishe atasema nimetumwa na fulani sasa hata huwezi kujua nani muhusika mkuu katika upotevu wake
 

Umevurugwa wewe ,,,wakati wa kampen za uchaguzi mbona huwa mnawabeba kwenye majukwaa ya siasa wawatukane watu boya wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…