#COVID19 Wasanii, vituo vya utangazaji kumegewa keki campaign za chanjo ya UVIKO

#COVID19 Wasanii, vituo vya utangazaji kumegewa keki campaign za chanjo ya UVIKO

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
IMG_20211002_113030.jpg
IMG_20211002_113034.jpg
IMG_20211002_113038.jpg
 
Huyu mumiani kazi kwenu kufanya promotion angalieni tu msije kupigwa mawe na vyombo vyenu kuchomwa moto, msifikiri watu ni wajinga hivyo
 
Corona ni kaugonjwa kadogo

Au nasema uongo ndugu zangu?

R.I.P:
JPM
MWALIMU KASHASHA
HANS POPE
ENG.KIJAZI
ENG.MFUGALE
MCH.RWAKATARE
DR.MAHIGA
MH.NDASA
OLE NASHA
KWANDIKWA
 
Badala ya kuweka incentives kwa wale walio tayari kujitolea kwenye majaribio ya chanjo kwa kuwalipa angalau fidia ya laki moja kama wanavyofanya kule majuu, wao wapo bize na kufanya uhamasishaji, kifupi unakuwa unampigia mbuzi gitaa....labda waendelee na njia zao walizokwisha anza za kutisha watu.
 
Huu ni upumbavu wa kiwango cha SGR, hizo pesa bora mkanunulie vitanda vya wamama wajawazito, pumbavu kabisa!
 
Hiyo budget ni meicheck ni billion 3 kwa miwzi 4
 
Kampeni zimepamba moto mpaka kwenye nyumba za ibada na misibani
 
Back
Top Bottom