Badala ya kuweka incentives kwa wale walio tayari kujitolea kwenye majaribio ya chanjo kwa kuwalipa angalau fidia ya laki moja kama wanavyofanya kule majuu, wao wapo bize na kufanya uhamasishaji, kifupi unakuwa unampigia mbuzi gitaa....labda waendelee na njia zao walizokwisha anza za kutisha watu.