Wasanii wa Alikiba wasainiwa na Harmonize

You might be right is it a crime?
 
Mtabiri wa maanguko ya watu huyo yupo kazini
 
Hakunaga maoni ya shabiki maandazi kama wewe
Haya ni maoni au makasiriko ?
Hahahhahh tafuta LA kufanya mkuu hili LA kukandia watu halikufai
Chill kijana hii inaitwa forum, kunywa maji kijana usipanic. Ni forum ndiyo maana hakuna sehemu ukipost kitu ukamute comments because it is a forum. Usipanic Boy
 
Hana hit song kama kipindi kile, ilikuwa ni hit baada ya hit. Sasa hivi kawaida tu bado ana jina la moto na mbwembwe sijui zitamfanya akae kwa muda gani kwenye trend.
Ndiyo maana nimekwambia una chuki naye umefuatilia nyimbo zake , na trend zake kwenye digital platform
 
Atawafundisha kushuka na waya
 
Chill kijana hii inaitwa forum, kunywa maji kijana usipanic. Ni forum ndiyo maana hakuna sehemu ukipost kitu ukamute comments because it is a forum. Usipanic Boy
Huwa kwa kweli kukasirisha watu kwamba sijui hii ni forum ?
Ni kweli ndio lakini kuwa hii ni forum haimaanishi eti ndo ugeuze jamvi la kukandia jitihada na kazi wanazozitolea jasho vijana wenzio .
Nimekunywa maji moka moyo umeelea.
Nilikuwaga boy zamani ..
Hahahhaha relax
 
Narudia hii ni forum... Chill hahve a glass of water boy, relax.
 
Huo ndiyo ukweli kama majungu ni kusema ukweli basi let it be. Ibra trend yake haipandi.
Trend haipandi ametoa nyimbo lin?
Jirekebishe kila MTU anakwambia huoni aibu?
Punguza makasiriko my baby
 
Kwa nini kumsaini a chief ni matatizo?
Jamaa alianza kwa yule bosi wake qs muhonda alirudi vizuri kama unakumbuka zile video south Africa na Adam juma.
Alipangishiwa nyumba na ka baby Walker.
Ghafla akadai anataka kuvunja mkataba kwani qs hajampa kiwanja wakati kwenye mkataba hawakukubaliana hilo.
Harmonize alipomsaida juzi na zile project chillah alimpamba sana kuwa dogo ana moyo sijui hajasahau walipotoka.
Lakini juzi kwenye interview anadai harmonize hajamsain sababu hawezi kumlipa yeye ( chillah) anadai yeye ni mkubwa
 
Ndiyo kupotea huko au we huoni? Relax kijana Boy. Ila naelewa ma Boy wanawaza kama ma boy siyo kosa lako ungekuwa a man ningejua kuna tatizo ila kwakuwa ni Boy told tu ukiwa a man.
Rudi kwenye replies zako za mwanzo ndo utajua kuwa hukufaa kujiita man bwana mdogo.
Hakunaga man mwenye makasiriko na mafanikio ya wenzie.Bali huwa tunapongeza kwa mwenzako alipofikia then keep kama motisha.

Niko hapa kabla yako my baby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…