Wasanii wa Alikiba wasainiwa na Harmonize

Utaona mfano Zuchu anafanya poa, huwezi mcompare na Ibra achilia mbali kumlinganisha na Zuchu Ibra hafanyi poa huwezi kucompare hata kipinfi wakina Mario wanatoka.
Any way ngoja tujipe muda.
Kwamba Zuchu anafanyaa poa kuliko huyo Ibraa, are you guys serious ?

Ninyi ndio kuanzia asubuhi mpaka usiku mmetune Wasafi fm ambako nyimbo za Zuchu zimekuwa wimbo wa taifa na wasanii wengine nyimbo zao wakiwemo hao Kondegang hazipigwi, basi mnadhani wasanii wengine hakuna.
 
Haya bwana mtabiri ibrah mwanzo alikuwa wapi lebel gani akae kwa trend katoa wimbo?
Haya tabiri niambie tundu lissu atashinda urais?
Lissu kushinda urais hilo liko wazi, yeye ndiye Rais ajaye, piga chini jiwe
 
Hivi jembe ni jembe radio bado iko kwa hewa mkuu?
Yes, inasikika Mwanza.

Na hao watu ukiangalia wamejipanga. Huyo Jembe ni Jembe ana mpaka tamasha linaitwa Jembeka Festival na huwa wanaleta wasanii wakubwa kama Wizkid.

Huyo Jembe ni Jembe ni hatari yawezekana kuliko Sallam ila ni mtu wa kimya kimya.

Check endorsement za Harmonize ndani ya muda mfupi tu ambazo hata Kiba hajawahi kupata.
So baada muda usishangae Jembe fm na TV zinasikika nchi nzima na tamasha lao Jembekat Festival linaruka mikoa mingi
 
Kweli mkuu,Yule jamaa 'Ndege' yuko njema sana.Enzi hizo ile beach yake ya Jembe ni jembe ilikua inajaza watu sio mchezo na alipiga pesa fresh sana.

Nadhani hata exposure hua anayo ya kutosha,atafika mbali.
 
Utaona mfano Zuchu anafanya poa, huwezi mcompare na Ibra achilia mbali kumlinganisha na Zuchu Ibra hafanyi poa huwezi kucompare hata kipinfi wakina Mario wanatoka.
Any way ngoja tujipe muda.
Vijana bwana, mafanikio ya zuchu ni yapi? Kualikwa shughuli kubwa kwa jina la wasafi?
Kuwa maarufu ndani ya mwezi kwa jina la wasafi?

Sina ushabiki, mimi ni legendari kidogo kwenu, wakati wetu tulitazama talents, siku hizi mnatazama umaarufu na viewers
 
Mimi sisikilizii wasafi yani kabisa wasafi redio sisikilizii, mimi redio ninayoisikilizi ni clouds ikitokea nimesikiliza redio. Wasafi TV uwa ninatazama Refresh na niliwahi kutazama Big Sunday Live I guess mara mbili. Ila hata ukiwa kwenye social networks, promo analopewa Zuchu, nenda subscribers wa Youtube alionao, support anayopata kutoka kwa wasanii kama akina lady Jaydee, Nandy, hiyo big sunday live niliyotazama aliperform na mashabiki jinsi walivyokuwa wanaimba naye, ni mbishi mwenye masters ya ubishi atakayesema Ibra anafanya vizuri kuliko Zuchu.
Kama branding na Promo kwakweli wameweza kumfanyia promo la maana, kitu ambacho kwa Ibra kinakosa.
 
Kwani ni crime label kumbeba msanii jina lake likapaa. Inabidi kumbeaba msanii jina liwe kubwa ndo utengeneze pesa. Na hilo wamefanikiwa. Hata promota akitaka kumchukua Zuchu kwa sasa lazima atakuwa ashajitengenezea picha kuwa atalipa pesa ya maana kutokana na branding na promo aliyofanyiwa.
Mimi siyo shabiki wa nyimbo zake lakini ndiyo ukweli hata mtu akatae ndiyo ukweli tu.
 
Jembe ni jembe hajui lolote mnampamba tuuu, alishafelisha program kibao before, Yes amefanikisha kumpigia chapuo kondeboy dili la sayona na CRDB nothing else, kaanzisha jembe ni jembe club , beach resort na jembe redio kule mwanza , zimeshine dk mbili now zipo ICU , akaanzisha jembeka festival kapiga mwaka mmoja tu wa pili chalii, Diamond kamchomolea show kibao jamaa akafura kwa hasira akaamua kumshawishi kondeboy na amemchukua harmonize akiwa hot cake na akiwa ni matokeo ya bitter struggle ya Diamond Platnumz ,....
Test yake ilikuwa Kwa Ibraah kama kawaida wimbo wa Kwanza ukakik , wa pili ukabuma tukaambiwa accnt yake YouTube haiko verified na bla blah kibao , wa tatu umetoka audio juzi , kwenye trending sjui Haupo mana naona wanyabi Tu instead ,
Wakamsign skales, yes Kwa mtu anayejielewa was a great deal lakn sjaona improvement ya nyimbo za skales Kwa ukanda huu wa East Africa , ....
Hatujakaa Sawa , Mara paap vijana wasio na makao from king music wametua Konde gang, .....
Sina mashaka na uwezo wa kondeboy maana with a lot of energy somehow he managed to survive sinking, .....

Ila Nina mashaka na uwezo wa jembe ni jembe kuhandle for a long Konde gang....
Pesa anazozitumia ni Yale mabilion aliyopiga Baba ake wa kambo pind akiwa wazir serikal ya kikwete...
 
hata huyo harmonize asingebebwa na Wasafi sasa hivi angekuwa mtwara analima korosho.
 
Hapa nimeingia choo cha kike

Muziki wa siku hizi unanishinda namna mnavyopeleka mambo

Basi sawa
 
Hapa nimeingia choo cha kike

Muziki wa siku hizi unanishinda namna mnavyopeleka mambo

Basi sawa
Yah ndiyo mziki wa siku hizi siyo kipaji tu, kama tunaongelea kipaji Ruby ilibidi awe na mafanikio kuliko Nandy lakini mambo sivyo yalivyo. Mziki ni Promo na branding, na ujanja pia. Hata Rama Dee ni mkali sana sana. Lakini kuna watu wengi hawamfahamu kwasababu ama hajafanyia promo la kutosha ama hajabase kwenye mziki kama source of income.
Ibra hajapewa promo anapotea. Harmo mwenyewe alipotambulishwa na Diamond, alifanyiwa promo la maana na jina likawa kubwa.
 
Dah najifunza aisee

Bado nilikua na mawazo yale ya mkali ni mwenye kipaji

Kwahiyo nilikua napishana sana na vijana, mimi nakazia uwezo kumbe wao wanazungumzia nani kazi zake zinakwenda viral
 
Hao madogo waache ujinga sasa ni nini wanategemea kupata kwa Harmonize wameshakuwa kwenye hayao ma label for quite sometime it's time for them to rely on themselves uyo konde boy mwenyewe now anaona Giza mbele
 
Dah najifunza aisee

Bado nilikua na mawazo yale ya mkali ni mwenye kipaji

Kwahiyo nilikua napishana sana na vijana, mimi nakazia uwezo kumbe wao wanazungumzia nani kazi zake zinakwenda viral
Ukali bila kwenda viral ukatengeneza ela ni sawa umesoma sana halafu uko mtaani una njaa aliyemaliza la saba anatengeneza pesa. Kingereza bila ela ni sawa na kupiga kelele (Moja ya mstari wa Langa (RIP).
 
Hamnistui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…