Wasanii wa Bongo acheni kulilia; fanyeni kama Rihanna

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,325
Wasanii wa kibongo, badala ya kulialia na kutafuta sympathy mitandaoni kutokana na majina yenu kutumiwa na kampuni ya Coca Cola kwenye makopo ya soda, fanyeni kweli. Kama kweli mnadhani Coca Cola wametumia majina yenu bila ridhaa yenu na kama kweli mnadhani mna haki ya kulipwa na Coca Cola kwa kutumia majina yenu basi wahini fasta mahakamani mkadai haki yenu.

Acheni kulilia mitandaoni. Badala yake fanyeni kama alivyofanya Rihanna. Topshop walitumia image yake kwenye tshirt zao bila ridhaa yake akaenda mahakamani akashinda kesi na kupewa fidia ya mkwanja wa Dola milioni tano za Kimarekani. Topshop walikata rufaa katika mahakama ya rufaa ya Uingereza lakini leo wameshindwa rufaa yao. Rihanna kaendelea kupeta.

Nyie si mnadai majina yenu ni personality yenu? Basi walipeni wanasheria wenu fasta wakadai haki zenu mahakamani. Tena fanyeni fasta. Ngoja ngoja yaumiza matumbo.

Pop star Rihanna wins image battle



Singer Rihanna has won a legal battle against high street store Topshop over a T-shirt bearing her image. The Court of Appeal in London upheld a ban on the store selling a sleeveless T-shirt featuring a photo of the star without obtaining her permission.

In the first successful celebrity case of its kind, three appeal judges agreed marketing the item without Rihanna's approval amounted to "passing off". "Passing off" refers to the unauthorised used of a personal image.

The star sued Topshop's parent company Arcadia for $5m (£3.3m) back in 2013 over the T-shirts, which featured a photo taken during a video shoot in 2011. In his ruling in July 2013, Mr Justice Birss found some buyers would have been deceived into buying the top because of a "false belief" it had been approved by the singer. He said it was damaging to her "goodwill" and represented a loss of control over Rihanna's reputation in the "fashion sphere".

Topshop lawyers had urged the appeal judges - Lord Justice Richards, Lord Justice Kitchin and Lord Justice Underhill - to rule that Mr Justice Birss had misunderstood the law on celebrity merchandising. Geoffrey Hobbs QC argued the court was dealing with a "decorated T-shirt" similar to merchandise featuring images of stars such as Elvis Presley, Jimi Hendrix and Prince.

Mr Hobbs suggested Rihanna was using the law wrongly to claim "only a celebrity may ever market his or her own character". Topshop lawyers had previously argued there was "no intention to create an appearance of an endorsement or promotion". All three judges unanimously dismissed the appeal.

However, Rihanna's victory does not necessarily pave the way for other celebrities to sue companies who use their image without permission. "The court was very keen to stress that there were specific facts that made Rihanna's case stronger than usual," copyright lawyer Paul Joseph told the BBC.

He said previous links between the singer and the store - which included competitions and publicity appearances - may have implied an official collaboration. Additionally, he said: "The image that was used here was actually from the publicity material from her Talk That Talk album. "These particular factors would make the public think this T-shirt had been authorised by her."

The BBC's legal correspondent Clive Coleman said this was the first reported English case of a celebrity claimant successfully relying on passing off to claim compensation for the unauthorised use of their personal image on merchandise.

Source: Pop star Rihanna wins image battle - BBC News
 
Nimetoka kuangalia Sky news sasa hivi na nimeiona hiyo habari.

Ishu ya Rihanna iko tofauti na hii ya wasanii wa Tanzania.

Topshop walikuwa wanauza tisheti zilizokuwa na picha yake bila idhini. Hizo tisheti zilikuwa nyingi.

Hawa wasanii wa kibongo, kama inavyodaiwa, wamepewa 'zawadi' ya chupa/ kopo za Coca-Cola zenye majina yao katika uzinduzi wa kampeni ya hiyo kampuni.

Hizo chupa/ kopo zenye majina yao, kwa uelewa wangu haziko sokoni. Kwa maneno mengine haziuzwi hapo kwa Mangi au Meku.

So I don't think what Coca-Cola did is actionable. But what do I know...I'm just a mbeba maboksi who flunked out of school.

Here is their chance to prove me wrong. I've asked them why aren't they going to court? No answer, just crickets.
 
Soma hii hapa chini:

The BBC's legal correspondent Clive Coleman said this was the first reported English case of a celebrity claimant successfully relying on passing off to claim compensation for the unauthorised use of their personal image on merchandise.

Licha ya kwamba facts za ishu ya Rihanna na hii ya hawa wasanii wetu ni tofauti kabisa, hicho kipande hapo juu kinathibitisha jinsi gani ilivyo ngumu kushinda kesi kama hizo.
 
Ishu ya Rihanna iko tofauti na hii ya wasanii wa Tanzania.

Iko tofauti lakini maselebu wetu wanataka kutumia the same law aliyotumia Rihanna aka the law of passing off dhidi ya Coca Cola.

Wawahi mahakamani fasta as it is claimed that Rihanna's case "was the first reported English case of a celebrity claimant successfully relying on passing off to claim compensation for the unauthorised use of their personal image on merchandise."

Watumie hiyo persuasive precedent ili yao iwe kesi ya kwanza Tanzania
 
Iko tofauti lakini maselebu wetu wanataka kutumia the same law aliyotumia Rihanna aka the law of passing off dhidi ya Coca Cola.

Wawahi mahakamani fasta.

They can even join together and file a single class-action lawsuit (au hiyo haiwezekani Tanzania?), but I doubt they will.
 
Soma hii hapa chini:

Licha ya kwamba facts za ishu ya Rihanna na hii ya hawa wasanii wetu ni tofauti kabisa, hicho kipande hapo juu kinathibitisha jinsi gani ilivyo ngumu kushinda kesi kama hizo.

Ndiyo maana it is strongly advised that kama una jina ambalo unataka uwe na IP rights nalo, you better register it as your trade mark.

Si umeona jinsi Bahkresa alivyompiga bao mpizani huko Rwanda?
 
wasanii wangapi TZ wanaweza ku afford a lawyer?

Wema ana crib ya shilingi milioni 400...

Aunty seems to be living large....

Many of them claim to be raking in millions of shilings each year....

Msando (the Instagram lawyer) claims to be retained by some of them....

Besides, kwani kuajiri lawyer ni shilingi ngapi hadi mtu ashindwe?

Mtu kama huyu Petro Mselewa wa humu au huyu Rutashobolwa, hawa nani ashindwe kuwa-retain?
 
They can even join together and file a single class-action lawsuit (au hiyo haiwezekani Tanzania?), but I doubt they will.

Class-action lawsuit siyo predominant in Commonweath countries kama ilivyo Marekani.

Hata Uingereza ambapo tumedesea sheria zetu nyingi kumekuwa na case mbili tuu kati ya mwaka 1999 na 2009.

Hata kama inawezekana Bongo, hawa maselebu ni wamoja kweli to the extent ya kuweza kuungana na kufungua class-action lawsuit?
 



Wema ile nyumba inadaiwa amepanga sio yake
Aunty kuishi large sijui na siamini

nakupa mfano mmoja tu
marehemu Aisha Madinda alikuwa anaonekana anaishi 'large'
siku akaumwa miguu ikatakiwa laki nne mashabiki wamchangie...

ndo wasanii wa TZ wengi wako hivyo....

mara utasikia wako mwananyamala hospitali.......sasa unajiuliza unaishi large ukatibiwe mwananyamala?
 

Hahahaaa....well....mbona Msando anadai yeye ana wasanii anaowawakilisha?

Sasa sijui wanamlipa shi'ngapi....
 
wasanii wangapi TZ wanaweza ku afford a lawyer?

Mazee tumeambiwa kuwa "Kim Kardashian because mtu kama Wema Sepetu ustaa wake kwa Tanzania ni equivalent na ustaa wa Kim marekani….."

Kama Kim anaweza kumlipa lawyer wa Marekani kwa nini Wema wetu ashindwe kumlipa lawyer wa Tanzania?

Au labda malawyer wa Kibongo ni expensive zaidi kupita wale wa Marekani?
 


lawyers wa TZ wanaishi large kuliko hao wasanii wa TZ.....

chukua lawyers 20 na wasanii 20 utazame utashangaa
 
Mtu kama huyu Petro Mselewa wa humu au huyu Rutashobolwa, hawa nani ashindwe kuwa-retain?

Si umemsoma mmoja humu akiwaomba wanaharakati wawasaidie?

Mtu hawezi kudai ana- earn a lot of milions halafu aombe legal aid au msaada kutoka charity organisations kudai madai yake tena personal.
 
Ndiyo maana it is strongly advised that kama una jina ambalo unataka uwe na IP rights nalo, you better register it as your trade mark.

Si umeona jinsi Bahkresa alivyompiga bao mpizani huko Rwanda?

Kumbe hawa watu wengine wana mpaka degree tatu za USA bila Phd wamepitwa uelewa na dogo ambaye hata shule ya msingi alimaliza kwa mbinde?

Si mwingine ni Dr Manyaunyau baada ya mpigaji mwenzake kufikishwa mahakamani magazeti yaliandika Dr Manyaunyau kizimbani kwa utapeli, ndipo huyu Dr Manyaunyau halisi alikwenda mahakamani na document akiiomba Mahakama iwape mwongozo waandishi wanaoreport kesi ile waache kutumia jina la Dr Manyaunyau na alifanikiwa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…