Wasanii wa bongo badilikeni ili muendelee kuwa na heshima katika tasnia ya muziki...........!!!!!!!

Wasanii wa bongo badilikeni ili muendelee kuwa na heshima katika tasnia ya muziki...........!!!!!!!

Yusuph Issa

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
528
Reaction score
82
Mambo vp wanajamvi?nategemea mko poa na asante mungu kwa kutupa fursa na nafasi ya kukutana tena humu ndani,kiukweli wasanii wa muziki nchini inabidi wabadilike ili kuendana na soko la muziki nchini,ni aibu kubwa msanii kumpigia magoti meneja na kurushwa kwenye mitandao na si PNC peke yake DOGO JANJA pia alimuomba msamaha huyu USTADH JUMA NA MUSOMA (meneja wa watanashati) inabidi wasanii mbadilike kwa fedha mnazopata katika biashara ya muziki kuzifanyia jambo la msingi kwa future ya baadae kama KUJIENDELEZA KIMASOMO mf ben pol,young killa,mike t (mnyalu),keisha,fa KUFUNGUA MIRADI NA BIASHARA mf lady jay dee,jafarahy,a.y,izzo biznes KUWEKEZA KATIKA ARDHI AU NYUMBA mf diamond platinum nafikiri nimeeleweka na mwenye masikio na asikie OVER!!!!!!!!!!!
 
Wasanii wanaishi maisha magumu aiseeh asikwambie mtu, jinsi wanavyojionyesha na maisha yao halisi had huruma aiseeh
 
Back
Top Bottom