Wasanii wa bongo fleva ambao wakishirishwa ngoma lazima ibambe mtaani.

Namba 4 ni sawa kabisa

Kabwela
Kama utanipenda
Sina imani

Izo ni baadhi tu
 
Blue kawalisha nini aisee,,,,maana naona watu mnampa point sana wakati kiuhalisia mr blue sio mtu wa kushirikishwa sana kwenye nyimbo za wengine bali yeye hushirikisha,,,,bora umuweke the chorus killer prince dully sykes

Sent from my HUAWEI Y520-U22 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…