Wasanii wa bongo fleva kuanza kunufaika

Jambo jema sana kwa wavuja jasho wenzetu hawa; acheni kazi za mikono yao sasa ipate kuwakomboa na kuwapa raha na uimara ki-uchumi mifukoni.
 
Nimesikia call tune ya binamu januar mpaka leo kachopoa mipesa milion kumi na nane dah.
So ko limekua jamani walioko kwenye chat wajishikie vizur uko maana wakichujaga hawaeleweki eti.
 
after starving for almost two decades let them enjoy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…