Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Kuimba live sio kurukaruka juu ya jukwaa.
Wasanii wabongo mnarukaruka sana kwenye jukwaa.
Ushauri mchungu mkifika kwenye jukwaa tulizeni akili connect akili yako na wasikilizaji.
Imba kutoka moyoni na tumboni na usiimbie kooni.
Toa sauti toka tumboni umiliki wimbo uwe wako.
Angalieni watoto wa BSS na AGT wanavyo imba vizuri ninyi makelele yanakua mengi sana.
Niliwahi kusema wakenya wanaimba nyimbo nzuri kuliko sisi tulicho wazidi ni brand tu.
Kama huamini play wimbo wa Kidumu hapo, au sikiliza nyimbo za kina Juliana Kinyomozi wa Uganda. Nyimbo za kina Bahati na Nadia ni nzuri sana.
Fanyeni mazoezi ya kuimba ndugu zangu mkitaka ku perform live lasivyo mtaendelea kushindwa.