Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Wewe unajua kuimba live?Kuimba live sio kurukaruka juu ya jukwaa.
Wasanii wabongo mnarukaruka sana kwenye jukwaa.
Ushauri mchungu mkifika kwenye jukwaa tulizeni akili connect akili yako na wasikilizaji.
Imba kutoka moyoni na tumboni na usiimbie kooni.
Toa sauti toka tumboni umiliki wimbo uwe wako.
Angalieni watoto wa BSS na AGT wanavyo imba vizuri ninyi makelele yanakua mengi sana.
Niliwahi kusema wakenya wanaimba nyimbo nzuri kuliko sisi tulicho wazidi ni brand tu.
Kama huamini play wimbo wa Kidumu hapo, au sikiliza nyimbo za kina Juliana Kinyomozi wa Uganda. Nyimbo za kina Bahati na Nadia ni nzuri sana.
Fanyeni mazoezi ya kuimba ndugu zangu mkitaka ku perform live lasivyo mtaendelea kushindwa.
Ni muhimu muziki ni wa kila mtu tuna sikiliza kila sikuNikweli ila tutafute maisha tuache kuumiza kichwa na mambo ya watu
Napenda taifa langu liwakilishwe vizuriWewe unajua kuimba live?
Ni kweli ndo wameishia hapo tuwaombee kwa Mungu wawezeNi muhimu muziki ni wa kila mtu tuna sikiliza kila siku
Kwanini usiingie kuwakilisha wewe ili wengine wajifunze kwako kwa kufanya sahihi wanapokosea?Napenda taifa langu liwakilishwe vizuri
Elewa kwamba Kuna watu Wana kipawa Cha kuwa walimu tu au wakufunzi..Kwanini usiingie kuwakilisha wewe ili wengine wajifunze kwako kwa kufanya sahihi wanapokosea?
Tunaweza kuchukua vijana wa BSS, wakina Phina, Abby Chams, Ruby, wakina Lydia siku za kuwakilisha taifa letu kwenye mambo makubwa ili tusidhalilike. Hawa wanao imbia studio wabaki kutuburudisha kwenye Playlists zetu.Kwanini usiingie kuwakilisha wewe ili wengine wajifunze kwako kwa kufanya sahihi wanapokosea?
Ukweli mchunguKuimba live sio kurukaruka juu ya jukwaa.
Wasanii wabongo mnarukaruka sana kwenye jukwaa.
Ushauri mchungu mkifika kwenye jukwaa tulizeni akili connect akili yako na wasikilizaji.
Imba kutoka moyoni na tumboni na usiimbie kooni.
Toa sauti toka tumboni umiliki wimbo uwe wako.
Angalieni watoto wa BSS na AGT wanavyo imba vizuri ninyi makelele yanakua mengi sana.
Niliwahi kusema wakenya wanaimba nyimbo nzuri kuliko sisi tulicho wazidi ni brand tu.
Kama huamini play wimbo wa Kidumu hapo, au sikiliza nyimbo za kina Juliana Kinyomozi wa Uganda. Nyimbo za kina Bahati na Nadia ni nzuri sana.
Fanyeni mazoezi ya kuimba ndugu zangu mkitaka ku perform live lasivyo mtaendelea kushindwa.
Barnaba yupo vizuri sanaBarnaba yuko poa Live performance.
Mleta mada ni mwalimu wa muziki?Elewa kwamba Kuna watu Wana kipawa Cha kuwa walimu tu au wakufunzi..
Walimu wanawafundisha watu kuwa ma professor alafu useme kwanini hao walimu wasiwe ma professor
Sio mwalimu wa Muziki ni msikilizaji na mtanzania ambaye hapendi nchi yake kudhalilishwa. Kama tulivyo dhalilishwa na Wakenya juzi kwenye show ya kugawa tuzo za wasanii waafrika.Mleta mada ni mwalimu wa muziki?
Ulimuona Marioo lakini??Sio mwalimu wa Muziki ni msikilizaji na mtanzania ambaye hapendi nchi yake kudhalilishwa. Kama tulivyo dhalilishwa na Wakenya juzi kwenye show ya kugawa tuzo za wasanii waafrika.
Kwaiyo kama sio mwalimu wa muziki ndio asijue muziki na misingi ya muziki lakini akawa Hana sauti ya kuimba au asipende kuimba.Mleta mada ni mwalimu wa muziki?