Wasanii wa Bongo kutoswa MTV MAMA 2016

Wasanii wa Bongo kutoswa MTV MAMA 2016

MorTimer

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
1,195
Reaction score
968
HIVI NDIVYO HALI HALISI ITAVYOKUWA

JK:MTANIKUMBUKA
a5b15f317841aed51779138f7a6182f1.jpg
 
kushinda au kushindwa yote matokeo Tu Na sidhani Kama lengo kuu la wasanii kuimba mziki Ni kwa ajili ya kuwania tuzo
 
kushinda au kushindwa yote matokeo Tu Na sidhani Kama lengo kuu la wasanii kuimba mziki Ni kwa ajili ya kuwania tuzo
Kweli kabisa kaka, kila msanii aweke malengo yake na atumie kipaji chake sawa na Mungu alivyomjalia, kuhaha ili kushinda tuzo sio sehemu ya malengo sahihi..
 
Back
Top Bottom