MorTimer JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 1,195 Reaction score 968 Oct 23, 2016 #1 HIVI NDIVYO HALI HALISI ITAVYOKUWA JK:MTANIKUMBUKA
M Mangi flani hivi JF-Expert Member Joined Jan 2, 2016 Posts 2,026 Reaction score 3,107 Oct 23, 2016 #2 Hivi kumbe hawa Jamaa wanashindaga baada ya sisi kuwapigia kura??
C Chagga King JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 1,866 Reaction score 1,076 Oct 23, 2016 #3 kushinda au kushindwa yote matokeo Tu Na sidhani Kama lengo kuu la wasanii kuimba mziki Ni kwa ajili ya kuwania tuzo
kushinda au kushindwa yote matokeo Tu Na sidhani Kama lengo kuu la wasanii kuimba mziki Ni kwa ajili ya kuwania tuzo
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,057 Reaction score 41,992 Oct 23, 2016 #4 …………………………………
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,301 Reaction score 13,858 Oct 23, 2016 #5 Mbona nasikia wote wameshindwa?..
avalanche JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 227 Reaction score 234 Oct 23, 2016 #6 Chagga King said: kushinda au kushindwa yote matokeo Tu Na sidhani Kama lengo kuu la wasanii kuimba mziki Ni kwa ajili ya kuwania tuzo Click to expand... Kweli kabisa kaka, kila msanii aweke malengo yake na atumie kipaji chake sawa na Mungu alivyomjalia, kuhaha ili kushinda tuzo sio sehemu ya malengo sahihi..
Chagga King said: kushinda au kushindwa yote matokeo Tu Na sidhani Kama lengo kuu la wasanii kuimba mziki Ni kwa ajili ya kuwania tuzo Click to expand... Kweli kabisa kaka, kila msanii aweke malengo yake na atumie kipaji chake sawa na Mungu alivyomjalia, kuhaha ili kushinda tuzo sio sehemu ya malengo sahihi..