Wasanii wa bongo kuweni na mavazi ya misibani....

Wasanii wa bongo kuweni na mavazi ya misibani....

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
1,529
Reaction score
198
How comes unaenda msibani kwa mwenzio hivi? Au mnakuwa mawindo? dah hata kama ni globalization. Tuheshimu misiba na mazishi, sio sehemu ya mzaha.Hii ilikuwa kwenye msiba wa baba wa msanii wa maigizo Nova.

wanaelimisha jamii wakati wao hawakuelimika!!
No wonder, they wants to make news everywhere they go!!!
 
Wauza sura hao, wanakera mpaka wanapitiliza. Msiba siyo sehemu ya kuvaa kihivyo
 
Unafki mtupu mie nifiwe mje hivyo walahi nawatimua:crying::crying::crying:
 
Mhh hii globalization si mchezo...yani mtu anajikwatua hivi? kama huyu Koleta hadi eyeshadow za rangi rangi?
 
Jamani msiba ni kupotelewa na ndugu hata uvae magunia au ujipake majivu ndugu kafa harudi mavazi hayana sababu kuwalaani hao
 
Wasanii wetu ni malimbukeni sana
Hawajui wavae nini wanapokuwa kwenye sehemu za majonzi/misiba
Hwajui wavae nini wanapokuwa kwenye stage usiku au mchana viwanjani
Hawajui wavae nini na vipi wanapokuwa na live interview kwenye TV
In short hawako flexible kwenda na mazingira fulani wakati fulani inapotokea kwao
Acheni ushamba
 
Jamani msiba ni kupotelewa na ndugu hata uvae magunia au ujipake majivu ndugu kafa harudi mavazi hayana sababu kuwalaani hao
walaaniwe kabisa howcome anakuja kavalia mavazi kama hayo kwenye msiba?
 
How comes unaenda msibani kwa mwenzio hivi? Au mnakuwa mawindo? dah hata kama ni globalization. Tuheshimu misiba na mazishi, sio sehemu ya mzaha.Hii ilikuwa kwenye msiba wa baba wa msanii wa maigizo Nova.

Wengi wao ni form four leaver.....!! Amejitahidi sana ana kozi ya ujanja ujanja ambayo haina soko kwenye ajira za sasa.
 
Na hata rambi rambi hawachangi kazi kumuaibisha mwenzao na mavazi ya aibu. Sio wanawake tu, hata wanaume wengi bado wanaenda na kofia, jinsi kwenye misiba ya wenzao kisa ni supa staa.
 
Hawa pomole mimi siwazimii hata tone,nani anataka kujikwangua msibani!!!pambaf***
 
Alau wengeazima kanga wakavaa na baada ya msiba wakaendelea na mambo yao

hawa wapuuzi, wengi wao hawana maadili hata movie zao mie siiangalii maana sioni cha kujifunza
 
Back
Top Bottom