Halafu wanashindwa hata kuona aibu......
Hebu angalia wanawake wa ukweli wa kitanzania wengine waliokaa nao pembeni, wamevaa wanaonekana kweli wapo msibani, wamejisitiri, sio wao wanajiuza kuna siku watauza hadi roho zao.......
Wanakera sana hawa kuku wa kienyeji wa bongo wanaojiita wasanii