Wasanii wa bongo movie huwa nawadharau sana. Kazi yenu kuishi maisha feki nje ya uhalisia

zwangandaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2023
Posts
747
Reaction score
1,404
Kwanza niwape pole na msiba wanmwigizaji mwenzenu Fredi.Mwenyezi Mungu amweke marehemu mahali alipojitqyarishia wakati y'u hai.

Imekuwa nintabia ya miaka nenda rudi na imekuwa utaratibu wa maisha ya wasanii kwamba kila wakiumwa wao ni 'kuomba serikali iwasaidie kuwatibu kana kwamba wao hawapatagi kipato.

Naomba serikali iache kuwadekeza haws matapeli lakini pia waambiwe ulkweli.

Haiwezekani nyie kazi yenu kuishi maisha feki nje ya uhalisia.

Wasainii wanapata pesa ila hawanaga akili ya kuweka akiba. Wengi wao wanaiashi maisha ya maigizo na kuthamini starehe, ulevi,umalaya nk.

Msanii aanawekeza pesa kwenye mikorogo na starehe lakini hana akili ya kujiwekea akiba yankesho ama kujikaatia bima ya matibabu kutoka kile anaachopata.

Mwisho wa siku mtu anaanza kuumwa hana hata mia ya matibabu matokeo yake ni kuishushia serikali lawama kwa kutopaatiwa matibabu.

Wasanii oneni hata haya basi,sio kila siku nyie kulia lia na kutembeza mabakuli.

Fanyeni ujinga mtakavyo lakini kumbuka kuna kesho
 
Prof. J aliigiza movie gani?
Ruge nae alikuwa upande ui wa bongo movie?
Hao wote waliomba michango na walichangiwa na serikali. Kuuguza kusikie tu mshkaji wangu, Colonel Mustafa hadi alijiingiza kuwa kibarua katika shughuli za ujenzi kwa kumuuguza mama yake.
Kuuguza kunamaliza hela haswa kama hutokei familia za kina Bakhresa, Mo, Ghalib na wengineo wenye ukwasi mkubwa, utatembeza bakuli taka usitake.
 
wanaishi maisha yao ila wewe ndio unatafsiri tofauti, sababu tunawaona kwenye social media unahisi atakua na ukwasi wa kutisha, msanii ili kazi zake ziende aingize kipato inabidi jina lake lisikike hivyo huwezi kusema aache kujianika kwenye social media sababu ndio mtaji wake, tutavuka pia zama za social media zitakuja nyingine ambayo mimi na wewe hatujui
 
inamana tangu niondoke wamefikia mpaka hatua hiyo?
hqdefault.jpg
 
Uliposema kwamba wanaiangushia lawama serikali umekosea sana.serikali inakula Kodi Kwa Kila mtanzania Sasa hapo wanaiangushiaje lawama?.msanii akitoka kanyimbo kake tu lazima kafanyiwe tathimini na serikali ikiwa ni pamoja na kukata kodi
 
Kwanza niwape pole na msiba wanmwigizaji mwenzenu Fredi.Mwenyezi Mungu amweke marehemu mahali alipojitqyarishia wakati y'u hai.

Imekuwa nintabia ya miaka nenda rudi na imekuwa utaratibu wa maisha ya wasanii kwamba kila wakiumwa wao ni 'kuomba serikali iwasaidie kuwatibu kana kwamba wao hawapatagi kipato.

Naomba serikali iache kuwadekeza haws matapeli lakini pia waambiwe ulkweli.

Haiwezekani nyie kazi yenu kuishi maisha feki nje ya uhalisia.

Wasainii wanapata pesa ila hawanaga akili ya kuweka akiba. Wengi wao wanaiashi maisha ya maigizo na kuthamini starehe, ulevi,umalaya nk.

Msanii aanawekeza pesa kwenye mikorogo na starehe lakini hana akili ya kujiwekea akiba yankesho ama kujikaatia bima ya matibabu kutoka kile anaachopata.

Mwisho wa siku mtu anaanza kuumwa hana hata mia ya matibabu matokeo yake ni kuishushia serikali lawama kwa kutopaatiwa matibabu.

Wasanii oneni hata haya basi,sio kila siku nyie kulia lia na kutembeza mabakuli.

Fanyeni ujinga mtakavyo lakini kumbuka kuna kesho
Maisha feki ni yapi,maana uchumi haudanganyi.huwezi kufeki una mansion masaki ili hali huna,huwezi feki kuwa na ferali au private jet na wakati huna.wanaishi maisha yao sema wewe social media zinakudanganya
 
Sasa hivi wamegeuka chawa wa chama, ili hakija matatizo wasaidike
 
Kwanza niwape pole na msiba wanmwigizaji mwenzenu Fredi.Mwenyezi Mungu amweke marehemu mahali alipojitqyarishia wakati y'u hai.

Imekuwa nintabia ya miaka nenda rudi na imekuwa utaratibu wa maisha ya wasanii kwamba kila wakiumwa wao ni 'kuomba serikali iwasaidie kuwatibu kana kwamba wao hawapatagi kipato.

Naomba serikali iache kuwadekeza haws matapeli lakini pia waambiwe ulkweli.

Haiwezekani nyie kazi yenu kuishi maisha feki nje ya uhalisia.

Wasainii wanapata pesa ila hawanaga akili ya kuweka akiba. Wengi wao wanaiashi maisha ya maigizo na kuthamini starehe, ulevi,umalaya nk.

Msanii aanawekeza pesa kwenye mikorogo na starehe lakini hana akili ya kujiwekea akiba yankesho ama kujikaatia bima ya matibabu kutoka kile anaachopata.

Mwisho wa siku mtu anaanza kuumwa hana hata mia ya matibabu matokeo yake ni kuishushia serikali lawama kwa kutopaatiwa matibabu.

Wasanii oneni hata haya basi,sio kila siku nyie kulia lia na kutembeza mabakuli.

Fanyeni ujinga mtakavyo lakini kumbuka kuna kesho
Mtu akikwambia wewe ni msanii unaelewaje?
 
Prof. J aliigiza movie gani?
Ruge nae alikuwa upande ui wa bongo movie?
Hao wote waliomba michango na walichangiwa na serikali. Kuuguza kusikie tu mshkaji wangu, Colonel Mustafa hadi alijiingiza kuwa kibarua katika shughuli za ujenzi kwa kumuuguza mama yake.
Kuuguza kunamaliza hela haswa kama hutokei familia za kina Bakhresa, Mo, Ghalib na wengineo wenye ukwasi mkubwa, utatembeza bakuli taka usitake.
Upo sahihi Kbsa mkuu,,jamaa amekurupuka tu Wala hajui gharama za matibabu zilivyo
 
Back
Top Bottom