Wasanii wa Bongo Movie kwanini mnaogopa kutaja umri wenu?

Wasanii wa Bongo Movie kwanini mnaogopa kutaja umri wenu?

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Uhamiaji, vitambulisho vya taifa na sehemu mbali mbali tukikuta kitambulisho kina umri huu, basi acha tucheke.

Huyu Ezekieli au kuna wa pili yake

IMG_1845.jpg
 
Tatizo ni hao Rita. Hawasajili umri mapema kwenye system

Wanaodanganya umri wako serikalini huko mpaka wanaathiri ajira za vijana wachanga
 
uhamiaji,vitambulisho vya taifa na sehemu mbali mbali tukikuta kitambulisha kina umri huu .basi acha tucheke.

huyu ezekieli au kuna wapili yake
View attachment 1990793
Umri wa watu na maisha ya watu yanakuhusu nini?

Kama umri ni ishu, basi jifanye wewe una miaka 7!!! Harafu uone kama Kuna kitu kitabadirika
 
Umri wa watu na maisha ya watu yanakuhusu nini?
Kama umri ni ishu,basi jifanye wewe unamiaka 7!!!harafu uone kama Kuna kitu kitabadirika

Kama maisha ya watu haya nihusu na wewe achana habari za mkeo na jirani yako hapo mtaani kutaka kujua yupo wapi?
 
Wajumbe wa balaza kuu la kimataifa la "MAGTOW" hii kitaalaamu tunaita "Hitting the Wall".

Hiyo ngoma balaa lake na maumivu linafanania na mtu ambaye biashara yake imeungua moto usiku na hakukata bima.

Si mchezo. Na huo ni mwanzo tu. She is living in denial kwa sasa.
 
Yaani dada kubwaa linakavulia chupi katoto kadogooo😀😁 na linajidai linaliaaa kitandani 😃😃🤣🤣 na ndio mastaa wa bongo yetu, mimi binafsi siwafatiliagi kabisa yaani hawajui kujifunza kwa wenzao wa nje
 
AISEE MI NACHOSHANGAA WEMA KACHUKUA UMISS NIKIWA SHULE YA MSINGI ILA KWA SASA NAMZIDI MIAKA

2006 alikuwa na miaka 18

So hatoki kwenye 34 hapo.

Hata lulu tunaweza sema ni mzee kumbe ni kwa sababu tumeanza kumwona muda mrefu ana 25 tu.
 
Huyo anti Ezekiel, kwa kumuangali tu hakosi 38.sasa sijui anamdanganya nani hapa!
 
Hivi ana wazazi? Mana siku zote namsikia yeye tuu...
 
Back
Top Bottom