Tatizo la kushuka au kufa kwa soko filamu Za kibongo mchawi wala sio filamu Za nje kama inavyozungumzwa na watu.... 1.Mchawi ni wasanii wenyewe kutokuwa na chombo cha kukagua filamu hii imepelekea kila mtu anayejisikia anafanya filamu anapeleka sokoni Haya yamepelekea kazi mbovu ambazo hazina viwango wala ubora kuingia sokoni kwa wingi na hatimaye mlaji kuchoka na kuamua kugeukia upande mwingine 2. wasanii kujiingiza kwenye siasa na kutoa kashifa kwa watu mbalimbali bila kujua kama wanajiharibia kwenye tasnia yao ...ni ngumu na haitokuja kutokea filamu kurudi kama zamani... Yaani unaenda kwa muhindi unauza filamu yako 20-25m tena hiyo nazungumzia msanii wa level za Kati hao wanaojiita masuper star walikuwa wanauza mpaka 35-40m leo... Kutokana na madudu mengi waliofanya bongomovie ni ngumu kumbadirisha mtazamani arudi kuangalia filamu Za kibongoWasalaam wanajf
Hivi karibuni nimemsikia kamanda Wa jeshi la polisi akitoa tahadhali na muda kuhusu kusitisha usambazaji Wa mikanda ya filam za nje ili kulinda soko la wasanii wetu.
Nafikili kwa wazo hili wasanii wangelipinga sana kwani linawadhalilisha ya kwamba hawawezi kuigiza ndio maana hawana soko mpaka serikali iingilie kati
Suluhisho :Serikali isingezuia ila ingewapa usaidizi tasnia hii ya uigizaji ili iboreshe kazi zake na kupendwA moja kwa moja na watazamaji badala ya kutumia ubabe
Angalizo: Unaweza kumpeleka ng'ombe mtoni lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji
Achilia mbali kodi watu wamechoka na kazi mbovu ambazo hazina ubora stori za kuungaunga na mambo mengi machafu wanayofanya hao waigizajiNdugu tatizo mnalipoti vibaya ili uonekane unachokiongea kipko sahihi,wanasema watazuia mikanda yote kutoka nnje ambayo haifuati utalatibu kama kupitia cosota ,yra na nk hivi hujihurumii hata wewe soko moja mnatengeneza bidhaa moja mwenzio halipi kodi wewe unalipa kodi unaweza kumshinda kweli huyu kibiashara?
Filamu ya mwisho kuiangalia ya Bongo movie ni Gate Keeper hii ya Ray ambaye ndiyo kaishabikia hii, mnajua huyu jamaa ni mbishi sana. Filamu nilichokiona ni rangi nzuri za video kama vichupa vya wasanii wa Bongo fleva. Story ya filamu hakuna kitu na Director hakuna, unajua huyu jamaa alishaambiwa kuwa director hapamfai ila anakumbatia tu. Nimeona sehemu Kajala anapigwa yaani wapigaji kama wanatomasa ngano, hii action Director alikuwa wapi?Wasalaam wanajf
Hivi karibuni nimemsikia kamanda Wa jeshi la polisi akitoa tahadhali na muda kuhusu kusitisha usambazaji Wa mikanda ya filam za nje ili kulinda soko la wasanii wetu.
Nafikili kwa wazo hili wasanii wangelipinga sana kwani linawadhalilisha ya kwamba hawawezi kuigiza ndio maana hawana soko mpaka serikali iingilie kati
Suluhisho :Serikali isingezuia ila ingewapa usaidizi tasnia hii ya uigizaji ili iboreshe kazi zake na kupendwA moja kwa moja na watazamaji badala ya kutumia ubabe
Angalizo: Unaweza kumpeleka ng'ombe mtoni lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji
Hoja ya msingi mbona huijibu mnafanya biashara ya aina moja wote na sehemu moja ila mwenzako halipi kodi zote we unalipa hivi unaweza kushindana naye huyu,kuhusu filamu siyo kweli zote ni mbovu zipo nzuri ambazo watu wanazifurahia,hata zhizo za nnje zipo ambazo unaweza kuangalia na usizifurahie,jibu swali la msingi hilo la mwanzoAchilia mbali kodi watu wamechoka na kazi mbovu ambazo hazina ubora stori za kuungaunga na mambo mengi machafu wanayofanya hao waigizaji
Kiufupi hatuwataki....Hoja ya msingi mbona huijibu mnafanya biashara ya aina moja wote na sehemu moja ila mwenzako halipi kodi zote we unalipa hivi unaweza kushindana naye huyu,kuhusu filamu siyo kweli zote ni mbovu zipo nzuri ambazo watu wanazifurahia,hata zhizo za nnje zipo ambazo unaweza kuangalia na usizifurahie,jibu swali la msingi hilo la mwanzo
Watu wenye akili kubwa wanashindana kwa hoja kusema tu huwataki wakati nao wanauhuru wa kudai haki yao ni kuonyesha kiwango cha akili yakoKiufupi hatuwataki....
Bila Shaka wewe utakuwa mmoja wao... Waambie WENZIO msiturazimishe kuangalia bongomovies hela zetu wala hakuna aliyesaidia wakati tunazitafuta....Watu wenye akili kubwa wanashindana kwa hoja kusema tu huwataki wakati nao wanauhuru wa kudai haki yao ni kuonyesha kiwango cha akili yako
Mkuu acheni porojo, boresheni kazi zenu, tutanunua.Kumuelewesha chizi utajipa tabu
Hoja ya msingi mbona huijibu mnafanya biashara ya aina moja wote na sehemu moja ila mwenzako halipi kodi zote we unalipa hivi unaweza kushindana naye huyu,kuhusu filamu siyo kweli zote ni mbovu zipo nzuri ambazo watu wanazifurahia,hata zhizo za nnje zipo ambazo unaweza kuangalia na usizifurahie,jibu swali la msingi hilo la mwanzo.
Mwisho naomba niongezee changamoto nyingine ni mabadiliko ya teknolojia. Ujio Wa ving'amuzi umewapa watazamaji wigo mpana zaidi Wa kuona channel nyingi za movie na matukio mengine. Kwa hiyo ni wazi muda na fedha ambayo ingetumika kununua bongo movie lazima imegwe.