Yaani beef ya Diamond na Ali Kiba imefikia kiasi cha kuzimiana mic kwenye tamasha kubwa ya hivi majuzi ambayo ilkua na wasanii maarufu akiwemo Cris Brown. Mbona Waafrika tunatia huruma kiasi hiki.
Hakuna cha bifu wala nini kiba alichelewa kufika eneo la tukio pia time management ilipelekea kutokea kushushwa kwa kuzimiwa mic ili Chris apande stage coz walifuata muda ...
Hakuna cha bifu wala nini kiba alichelewa kufika eneo la tukio pia time management ilipelekea kutokea kushushwa kwa kuzimiwa mic ili Chris apande stage coz walifuata muda ...
Namkubali Ali kiba na uwimbaji wake mahiri. lakini, aliyo ya fanya Mombasa, hayata msaidia kibiashara. Nahili Nd'o tatizo lake kubwa, hajui biashara. Diamond, is a shroud businessman.
Smashala, Ali Kiba ana uswahili, utoto na wivu mwingi! Anataka anapokuwapo basi element za Diamond zisiwepo.
Imagine Ne-yo alikuja Coke studio ambayo Diamond hakualikwa (bila sababu ya maana na hakulalama) lakini he dropped in Nrb to scout Ne-yo n clinched a recording deal.
As a matter of fact he was aware of the hotel Ne-yo was to sleep inn well in advance n booked a suite just to get a chance to talk with Ne-yo management aside taking Ne-yo out as a good business gesture all paid on his cost.
And all this happened underground while the rest of Artists at Coke studio including Nigerians were watching! Diamond n his management are in their own level, sth Sautisol, Ali Kiba et al should learn.
I won't be surprised if Diamond n Wizkid got a recording deal with Chris Brown since their managements (i.e. Diamond's n Wizkid's) have teamed up to work together!