Wasanii wa Bongo wamtelekeza Idris, hakuna aliyeenda kumwangalia wala kumpost

Mimi namlaumu Albert bashite nahisi mkono wake upo katika hili japo hakutamka hadharani kama alivyofanya kipindi kile.

Sent From Galaxy S20 Ultra
Turudi kwenye uhalisia. Tuseme angekuwa baba yake mzazi angelifanya kama alivyofanya?

God save us
 
Unaweza kuchukua picha ya baba yako ukaiweka mtandaoni ukaanza kucheka kwa kejeli? Acheni kutumika vibaya mtaumia. Huyu jijaba hana adabu hata kidogo na ndio maana wasabi wenzake wamempotezea

God save us
Poa mkuu, ila za kidoti kutumika na chaputa haina shida
 
Angepost ya kwake kama alivyofanya jide au angempost babaake... au angepost picha tu ya jpm basi ingetosha! Lakini kitendo cha kupost picha ya jpm huku akiwa anacheka tena kwa kwa dharau mana si kucheka tu.. hiyo inaonyesha ni jinsi gani dogo kwao alivyolelewa. Mara ya kwanza alipotiwa nguvuni kwa kosa lile lile watu wengi walipaza sauti hata mm nilimtetea dogo kwa nafasi yangu kama mtanzania wa kawaida. Lakini hiyo haitoshi karudia tena kosa lile, acha kwanza wamnyooshe kama kwao hajafunzwa adabu! Mie sina chama na wala sifungamani na upande wowote ule kisiasa na ndio maana hunioni hata siku moja kwenye majukwaa ya siasa. Ila kwa umri wa jpm, idrisa ni kama baba yake.
 
Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !

Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
Wanaomdhihaki Rais ni jeshi la polisi sio Idrisa, wangempuuzia hata Mimi nisingejua kafanya nini na hiyo picha nisingeitafuta kuiona.
 
Idriss kanishangaza Sana..anajua kila kitu kuhusu Tanzania ya Sasa (wanaita kishindo Cha awamu ya tano) alafu anafanya hivi..
Sasa anaweza kunyofolewa korodani moja bila kufikishwa mahakamani..na wakamuachia akiwa mlemavu wa korodani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !

Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
Ni Marekani ipi hiyo?
Your browser is not able to display this video.
 
akili na upeo kama huu ndio umemponza huyo mwenzenu, hamfikili kwamba urais ni taasisi, hamfikilii kuwa ile mibaba na suti nyeusi inahenyeka na kuminyana kuilinda hiyo taasisi ila nyie pale mnamuona Magufuli tu.... sasa wacha apambane na wenye taasisi yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !

Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
Ingekuwa wapi?maneno hayo ilibidi atamke MTU Wa USA kuwa ingekuwa Africa, sitetei ila inaonyesha hujui lolote kuhusu USA,trump yule anaetukanana na wananchi wake katika Twitter, usifananishe kabisa USA na Tanzania yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe kuwa rais basi kama ni rahisi acha wivu mkuu
 
Wote wanaiogopa Chato Regime,
Hii regime no cruel and very harshy, hawachelewi kukuletea risiti ya TRA unadaiwa kodi
 
Kijana alipata mtaji mzuri sana toka bba, ilikuwa ni wakati mzuri sana kwake kufanya mambo mengine badala ya kulazimisha kipaji ambacho hana, matokeo yake sasa anajiingiza kwenye migogoro na dola kusaka umaarufu, Kwan Africa rais ni mfalme, jina ndio limebadilika tu!
 
Acha lawama na wewe kashinde
Kama ni hela anazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamdhihaki vipi wakati picha alipiga mwenyewe? Ni kama leo chaputa wakitumia picha za kidoti ambazo aliposti yeye mwenyewe

Kuna kitu umeongea...kama hawakutaki feelings za watu hiyo picha waliileta in public iweje???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…