Recording artist wengi including Beyonce na wengine kama yeye believe it or not wanafanya show kwa kutumia perfomance track, ambayo ina instruments, backing vocals na hook vocal.
Kwahiyo watu wanaweza kufikiri msanii anafanya lip-synching kwasababu kipande ambacho msanii aimbi na wanasikia vocal ambazo zipo kwenye perfomance track. Lakini kipindi chote microphone ya mwimbaji inakuwa on. Sio rahisi physically to mic an entire band for every segment that comes up. Na hii sio cheating lakini overuse utakuwa utoto tena wala sio kazi ya sanaa.