Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wakihojiwa wanajisifia bongofleva imekuwa, wanasema eti washindani wao kwa Africa ni Wanaija, ushindani upi wa kucopy?
Yap hata kwenye video ya Kwangwaru shakushaku ipo japo si sana, ukiangalia hata wimbo mpya wa Mr Flavor aliomshirikisha Diamond utaona Diamond anaisifia shakushaku, hizi shobo za wasanii wetu kwa 'unigeria' sijui zitaisha liniOngezea hata video zao wanakopi wengine walivyofanya haswa hii timu wasafi
Ngoja waje.. Utaitwa hater si muda
Yaani mnacopy kuanzia melody, beat hadi style ya kucheza. What a shame? Halafu ndio mnataka mshindane na Wanaija wakati mnawacopy kilakitu? RAYVANNY hapa umepotea this is too much, dancers nanyie umizeni vichwa sio kila video 'shakushaku'