Wasanii wa bongofleva mnatia aibu kuwacopy wanigeria

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Yaani mnacopy kuanzia melody, beat hadi style ya kucheza. What a shame? Halafu ndio mnataka mshindane na Wanaija wakati mnawacopy kilakitu? RAYVANNY hapa umepotea this is too much, dancers nanyie umizeni vichwa sio kila video 'shakushaku'

 
Ongezea hata video zao wanakopi wengine walivyofanya haswa hii timu wasafi
 
Ongezea hata video zao wanakopi wengine walivyofanya haswa hii timu wasafi
Yap hata kwenye video ya Kwangwaru shakushaku ipo japo si sana, ukiangalia hata wimbo mpya wa Mr Flavor aliomshirikisha Diamond utaona Diamond anaisifia shakushaku, hizi shobo za wasanii wetu kwa 'unigeria' sijui zitaisha lini
 
Mi ndiyo maana sipendi bongo fleva, yaani wasanii wote ni fake. Vanessa na Jux wanajifanya Beyonce na Jay Z, tena hawa ndiyo wamezidi kuwa na mapenzi fake. Kwa kweli watanzania tunajitahidi sana kuua muziki wetu wa asili wa dansi kushabikia photocopy za Nigerians. Tunasikitisha mno kwani wasanii wa fleva wanaroga hata mashabiki wao!
 
Ngoja waje.. Utaitwa hater si muda


Ni kwasababu hawataki kuambiwa ukweli. They’re too fake. Yaani hata concerts zao ni za kipuuzi, unashangaa how do people enjoy muziki wa copying and pasting? Eti mtu anajiita mwanamuziki anatembea na begi la cd mgongoni. Ukimwambia imba ndiyo anaweka cd kuimba karaoke. Ni adadhali hata muziki wa Singeli kuliko stupid bongo fleva.
 
Nenda kwenye hiyo post uone mafuriko ya Diamond.



Lakini haiondoi ukweli kuwa Muziki wa Bongo Kwa sasa ni full copy and pasted from Nigeria.

Kama wewe ni mtazamaji wa Trace TV, Mtv Nigeria, Hip Tv na Sound city TV ambazo kwa asilia zaidi ya 80 nyimbo wanazopiga ni za Nigeria, utagundua kuwa muziki wa tanzania umegubikwa na ladha ya muziki wa Nigeria kuanzia Melody,Beat,Style za kucheza n.k



Btw enjoy Good Music.
 
Yaani mnacopy kuanzia melody, beat hadi style ya kucheza. What a shame? Halafu ndio mnataka mshindane na Wanaija wakati mnawacopy kilakitu? RAYVANNY hapa umepotea this is too much, dancers nanyie umizeni vichwa sio kila video 'shakushaku'

mziki wa asili wa bongo ni upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…