Wasanii wa East Africa Bado Ni Local Champions, Beyonce awatosa

Hatuna wasanii mashuhuri, ila tuna wasanii maarufu.
Kwa kawaida watu mashuhuri huwa wanafanya kazi kuzingatia ubora, watu maarufu hufanya kazi kwa kutafuta kiki kwenye Mass media.

Chunguzeni nyimbo za diamond Platinum
Wewe ndo umeandika pumba kabisa na unaonekana hata mziki ufatilii mzee baba unatuaibisha bwana
 
Acha utani kwenye mambo serious,Beyonce number nyingine.
Namba nyingine kwenye nini ?

Kama wewe raia wa EA unashindwa kuwakubali wasanii wa eneo lako, unategemea mtu kutoka Marekani afanye hivyo?
 
After looooong paragraph,still jibu nlichokuuliza kama utapenda
 
kipimo ni beyonce, huyu ndiye msanii pekee unayemjua? mtu na kazi yake ni lzma akushirikishe ww ili tuamini kuwa africa mashariki kuna wasanii?
 
Nahisi daimond atakuwepo hapo kwenye and more.
 
Ngojea nikupe elimu ya bure kuwa msanii wa kimataifa Kuna levels mbili moja kuwa wa kimataifa kwa ngazi ya kiafrika hapa namaanisha kufanya vizuri Sana kwenye nch za Africa level ya pili kufanya vizuri zaidi nje ya Africa niliyowataja wanafanya vizuri Sana afrika angalia hata show wanazofanya zinajaza na pia wanafanya kwenye maukumbi mfano Kama diamond huu mwaka huu kwa miezi iliyobaki ana show 24 na nyingi Sana ni nchi za Africa lakini kwa maana ya nje ya Africa afanyi vizuri Sana lakini aimuondoi yeye kuitwa msanii wa kimataifa cos anafanya vizuri barani Africa huyo jamaa brave one alichokosea ni kuwalazima hao wasanii wawe level sawa na wasanii wanafanya vizuri Africa na nje ya Africa Kama Wizkid na davido. ONA SHOWS ZA SIMBA HAPA
 
Baadhi ya hizo streaming services ulizozitaja kuna sehemu hazifanyi kazi kwa ukubwa huo zilio nazo. Kwa mfano Bongo, Ni % ndogo sana wanao stream miziki.

Ushahidi ni mkito hawana biashara tena. Hata wasafi nao!! Kibongo YouTube ndio kiungo kikubwa
 
Huyo Beyonce mwenyewe alikuwa zamani.Cha nyumbani kitamu jamani

Hee maajabu sasa haya , kuna mwenzako mmoja alisema diamond ni kama Michael Jackson, Nilichekaa mpaka leo nacheka, kwenye ukweli tuseme ukweli bwana huwez fananisha west Africa na East Africa, kina davido wanaenda mpaka kuperform kwene summer jam tena juz tu nimemwona, ila kweli cha nyumbani kitamu na ndio mana mwanzisha mada kasema they are loco...
 
Hao Ni wasanii wa East Africa ebu nitajie hata mmoja hapo alieingiza wimbo chart za Billboard

🤣🤣🤣🤣🤣 wako kwene trace mziki ahahahaha watu wana billion streams unamfananisha na diamond ? Jaman daaah watu wanamikataba ya hatari huko spotify na tidal sio wakuwafananisha na kina diamond , ila sio kulaumu tu watu wengi bongo hawajui Music Industry inavyokwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…