Hapo umezngatia vigezo gani?
kama ni mafanikio basi upo sahihi...
Ila mimi kama
MAWEED nakwambia khaligraph jones ndio namba 1 africa..
Alishinda beef na sarkodie,beef na casper nyovest.... nan mwingine atakuja?
Nenda kasikilize khali karter 1 mpaka ya 7,halafu rudi hapa uje kuedit post yako