Wasanii wa hiphop matajiri zaidi duniani

Btwainy

Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
13
Reaction score
7
WANAMUZIKI WA HIPHOP (10) MATAJIRI ZAIDI DUNIANI.

1.DIDDY


Mbali na mziki Diddy ametengeneza fedha nyingi kwa miradi mbalimbali nje ya mziki kama mkataba wa kutengeneza vinywaji vya Diageo's Ciroc Vodka
Kinara huyu anamiliki dola za kimarekani millioni 62
02.JAY Z


Anazidi kutengeneza hela na kampuni yake ya Rocknation entertainments pamoja na kampeni mbalimbali anazoziendesha
Anamiliki kiasi cha dola za kimarekani millioni 53.5
03.DR DRE


Mwaka jana aliachia albamu yake kwa mara ya kwanza baada ya miaka zaidi ya kumi kupita pia kutoa ngoma kali ndo kuliko muongezea mapato zaidi
Anamiliki kiasi cha dola za kimarekani millioni 41

04.DRAKE


Amekuwa ni msanii wa Hip Hop mwenye mauzo mazuri ya kazi zake, pia dili za Apple, sprite na Nike zimemuongezea "chapaa"
Anamiliki kiasi kisichopungua dola za kimarekani millioni 38.5

05.WIZ KHALIFA


Anamiliki kiasi cha dola za kimarekani millioni 24 ,Show zake 70 ndo zilizomuongezea mapato zaidi.

06.NICK MINAJ


Ni mwanamke pekee kwenye orodha na amezidi kuitetea nafasi yake hiyo anamiliki dola za kimarekani millioni 20.5, Tour za pinkprint ndo zilizomlipa zaidi,,,,

07.PITBULL


Anamiliki kiasi cha dola za kimarekani dola millioni 20, na ndiye msanii aliyeingia mkataba na lebo za biashara nyingi katika kutangaza biashara ukiachia mbali snop dog,, ameingia mkataba na lebo kama Playboy ,Norwegein cruise Lines na nyingine nyingi

08.PHARRELL WILLIAMS


Huyu anamiliki kiasi cha fedha kisichopungua dola za kimarekani million 19.5 ,anapiga mkwanja mrefu baada ya kuwa miongini mwa wamiliki wa kampuni ya G-star Row

09.KENDRICK LAMAR

Ameshika na nafasi ya Tisa kwa kumililiki mkwanja usiozidi dola za kimarekani millioni 18.5 kutoka na shoo anazopiga na Lucrative festival gigs pamoja na mkataba aloingia na kampuni za Reebok pamoja na Calvin klein.

10.BIRDMAN. "BABY"




Huyu ni msanii ambae kwa mwaka huu hajauza sana albamu zake ila kiwanda chake cha mziki "Cash Money Records" bado kinamuingizia mpunga wa kutosha,,,, anamiliki kiasi cha fedha kisichopungua dola za kimarekani millioni 18..
 
Hiyo list fake,Hii ndio list sahihi (Hiphop n' RnB);

Rank Name Net Worth Age Country
#1

Sean Combs – Diddy
$750 M 46 United States
#2

Dr. Dre
$700 M 51 United States
#3

Jay Z
$550 M 46 United States
#4

Master P
$350 M 49 United States
#5

Russell Simmons
$325 M 58 United States
#6

Eminem
$210 M 43 United States
#7

Usher
$180 M 37 United States
#8

Ronald Slim Williams
$170 M 49 United States
#9

50 Cent
$155 M 41 United States
#10

Birdman
$150 M 47 United States
#11

Pharrell Williams
$150 M 43 United States
#12

Lil Wayne
$150 M 33 United States
#13

Kanye West
$147 M 39 United States
#14

Snoop Dogg
$143 M 44 United States
#15

Ice Cube
$120 M 47 United States
#16

LL Cool J
$100 M 48 United States
#17

Drake
$100 M 29 Canada
#18

Timbaland
$85 M 45 United States
#19

Akon
$80 M 43 United States
#20

Adam Horovitz aka Ad-Rock $75 M 49 United States
#21

Will.i.am $75 M 41 United States
#22

Michael Diamond AKA Mike D $75 M 50 United States
#23

Joseph Simmons AKA Rev Run $70 M 51 United States
#24

Nicki Minaj $70 M 31 United States
#25

Busta Rhymes $65 M 44 United States
#26

Swizz Beatz $65 M 38 United States
#27

Nelly $60 M 41 United States
#28

Wiz Khalifa $55 M 29 United States
#29

Chad Hugo $55 M 42 United States
#30

T.I. $55 M 35 United States
#31

Afeni Shakur $50 M 69 United States
#32

Darryl McDaniels $45 M 52 United States
#33

Andre 3000 $45 M 41 United States
#34

Bone Thugs-n-Harmony $45 M 24 United States
#35

J Prince $45 M — United States
#36

Rick Ross $42 M 40 United State
#37

Big Boi $40 M 41 United States
#38

T-Pain $35 M 30 United States
#39

Common $35 M 44 United States
#40

Ice T
$35 M 58 United States
#41

Ludacris $31 M 39 United States
#42

Flo Rida $30 M 36 United States
#43

Lil Jon $25 M 45 United States
#44

The Game $25 M 36 United States
#45

Soulja Boy $23 M 26 United States
#46

Mike Shinoda $23 M 39 United States
#47

Cee Lo Green $22 M 42 United States
#48

Tech N9ne $21 M 44 United States
#49

Nick Cannon $20 M 35 United States
#50

Method Man $20 M 45 United States
 
Source yako nn???


Hiyo ya juu kuhakikisha ingia Cash Kings 2016: Hip-Hop's Highest-Earning Acts
 
Asantr Mkuu maana jamaa alitaka kutulisha matango poli
 
Hii iko sahihi,maana mara ya mwisho nilisoma somewhere Didy alikuwa kwenye $ 720m.
 
Sasa kama mastaa wa marekani hawajafikia bil 1 shilole atoe wapi jamanii?
 
Kuna tofauti kati ya kipato kwa mwaka na utajiri wa msaani.

List ya kwanza ya mtoa mada ni kipato cha marapper kwa mwaka

List ya Pili ni jumla ya utajiri wa msanii.
 
Kwani title inasemaje? Huyo kachemka...
Mtoa mada kasema list ya wasanii wa hip hop matajiri zaidi duniani.

Angetakuwa aseme list ya wasanii wa hip hop wanaongoza kwa kutengeneza/kuingiza kipato/pesa ndefu/nyingi kwa mwaka. (MOST EARNING HIP HOP ARTISTS).

pdiddy anatengeneza usd 62M kwa mwaka but utajiri wake ni usd 720M.
 
Hii iko sahihi,maana mara ya mwisho nilisoma somewhere Didy alikuwa kwenye $ 720m.
Sasa hivi ana $ 750M! Mwaka juzi na mwaka jana Dr Dre alikuwa akiogoza list alikuwa amempisha kidogo P.Did ila sasa hivi jamaa kasha mpita!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…