Wasanii wa Kagera waunda Kagera All Stars waja na Inaanza na wewe

serikali haijatoa tamko?kama mbunge wa bukoba

swissme
 
[emoji1]
Wamejitahid kweli kweli mkuu, ntafanya nao remix
jitahidi aisee uimbe nao.

nilivyoskia wasanii wa Kagera nilifungua kwa wasiwasi nkajua ndio zile aibu za kina Baraka de prince naenda kukutana nazo.

nimepata ni tofauti kabisa. wameimba vizuri kwahisia kali kabisa.

ukiona mimi nimekubali wimbo basi hakuna atakae ukataa
 
kwahyo ww ni master jay?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…