Wasanii wa kike fateni nyayo za Lady Jaydee (Commando)

Wasanii wa kike fateni nyayo za Lady Jaydee (Commando)

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Habari.

Ukitazama wasanii wa kike wa bongo wa wapo wapo hata hawaelewi wenyewe nini wanafanya kwenye tasnia ya mziki ukiongeza na maisha yao binafsi.

Wamekuwa maisha yao binafsi ndio wanatumia badala ya kutanguliza kazi zijitangane kutokana na ubora wa kazi zao ambazo zinaishi kwa muda mrefu. (Kama ni bora)

Ndio maana wasanii wa kike ukiwataja wa muda wote sidhani kama Lady Jaydee hatokuja kwenye hiyo list.

Angalieni huyu mwanadada (Lady Jaydee) alifanya nini na kuweza kuwa hadi leo.

Nawasilisha.

Cc: Kichwa Kichafu
 
Wasanii wa sasa wako busy kusumbuana kwenye social media wala si kuelimisha jamii
 
Kwasababu hawavuti mjani kama Commando Jide.
 
Tatizo wadangaji wameingia kwenye sanaaa
Wauza nyapu nao wameingia kwenye sanaa
Wote wanajiita wasanii,basi tabu tupu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hakika Jide ana mfanowe mpaka sasa,level zake yupo yeye mwenyewe.Pamoja na kutokuwa na social media hizi na digital platforms lkn aliweza kuchakuliwa kwenye tuzo za KORA.
 
Back
Top Bottom