mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Wana Jamvi,
Katika vitu vya ajabu angekuwepo mashindano ya kupenda , wasanii wa kike wangeliongoza kwa mbio kali za kupenda, labda pengine ni kwa sababu ya mazoe aya kazi yao ya kuwa kwenye action muda mwingi kupekea kuonekana kwamba ndio wana uwezo na hisia zaidi za kimapenzi, Aidha yote poa lakini hili la wasanii wa kike kupenda sana kulambwa lambwa ovyo na wauza sembe halijakaa poa, nalisemea kwa kuwa wasanii hawa hujipambanua sana kwamba ni kioo cha jamii, na hawa hawa pia uonyesha hisia kali za kuonyesha jinsi maisha yanavyokuwa mbaya kwa mtumiaji unga, hivyo hivyo wanajua fika kwamba wapenzi wao wanaaharibu jamii ya kitanzania, lakini mwisho wa siku baada ya kumaliza kazi ya kuigiza mabaya yatokanayo, uwafuata watenda ubaya na kuwa bize nao kimapenzi.
Bila kupepesa macho, bila kuweka macho pembeni nianze na msanii Wolper, huyu dada ni mzuri sana kwa umbo, kwa ukalimu yaani amekamilika kila idara lakini ni maajabu waliokuwa wapenzi wake wanaofanya biashara haramu walikuwa wakimwanika kuwa sio lolote yeye ni wakutumika tu sio wa kuoa, cha ajabu uzuri wake huu, hivi kweli awezi kumpata mchumba mwenye kipato akatulia? ni lazima awe na hawa jamaa wasiojari pesa ni kitu gani wao ni kununua magari ya kujionyesha wakati kadi wakibaki nazo?
Nakuja na Aunt, ni miaka sasa imepita tangu aolewe na yule aliyefungwa kwa biashara haramu, hivi na uzuri wote hakufanya mapambano ya kuchagua kilicho sahihi, mpaka anaharibu ndoa yake kwa kuvikwa mapete ya mda wakati mwenza akisota lupango?
Kajala na uzuri woote amefungwa kwa muda kwa sababu ya pupa za kutaka utajiri wa haraka naye mwenza aliyekuwa akifanya biashara haramu hauyuko naye tena, ni maumivu gani anasikia anapokuwa lupango huku mkewe akisikia leo yuko na yule kesho wamenyanganyana na mwingine.
Wengine nimeaacha kwa kuwa muda hautoshi, lakini hivi kweli hawa hawajielewi kuwa, mfanyabishara ambaye anaishi kwa huaribifu ndio apate kula mwisho wake dhuluma huwa inampata kama haitampata yeye itapata watoto wake, nyinyi wasanii kupenda anasa sio dili badilika kama ni kuolewa chagua chaguo sahihi, mwisho wa muuza unga uwa ni miaka 10 tu ndani ya utajiri baada ya hapo anarudi umaskini au anakuwa mtumia unga. tafadhali badilika kama wewe ni msanii wa kike bwana yako ni muuza unga au mwizi/mpigaji mpige chini. inaonyesha kwamba wasanii wa sasa sio wajanja wa kulenga wanaume bora ila bora wanaume, kuna siku mtakuja kuzaa watoto wasio na akili kwa sababu mababa zao waliumia kwenye ujambazi , wakati mwili unafanya kukokotoa mbegu bora unakutana na vigingi kama uaharibifu wa mwili na kukusanya kiduchu hivyo mtoto anakuwa na mapunguvu maana baba ashapoteza viungo muhumu.