ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Katika Hali Ambayo kila mmoja hakutegemea, Rosa Ree Leo ikiwa ni Siku Ya Kina Mama Duniani, Ameamua Kuweka wazi Kuwa Alikuwa Mjazimto na akafanikiwa kujifungua mtoto wake ambaye anamlea hadi sasa.
Dalili zinaonesha Rosa Ree imepita miezi kadhaa tuu Toka Ajigungue mtoto huyo.
Watu wengi sana wamempongeza kwa USIRI MKUBWA alio ufanya kutokea kuwa Mjamzito hadi kuja kujifungua na leo kuamua kuweka wazi.
Ni vyema wasanii wengine wakajifunza namna ya Kutofautisha Maisha Ya Kwenye Mitandao ya Kijamii na Maisha Mengine kama Alivyoweza kufanya Rosa Ree.
Japo hakuna MKATE MGUMU mbele ya Chai, Lakini Rosa Ree ameonesha Kitu cha Utofauti kabisa ambacho anapaswa kupongezwa.