Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
Kumekuwa na tabia za masuper star hasa wanawake kupiga picha wakiwa nusu uchi. Picha ambazo licha ya kujidhalilisha wao wenyewe,pia wanadhalilisha hata familia zao.
Wengi wanafanya hivyo kwa kuwaiga wasanii wa nje na kuona kuwa huo ndio ujanja na kwenda na wakati,kumbe ni ushamba uliovuka mipaka.
Labda nipende kuwaambia kuwa ujinga mnaoufanya leo utakuja kuleta madhara kwa watoto wenu hasa watoto wa kiume.
Picha zenu za hovyo zinazowekwa mitandaoni zitadumu humo kwa muda mrefu wa watoto wenu watakuja kutazama ujinga wa mama yao.
Wewe superstar wa leo ni mzazi wa kesho,kwani uje kumpa mtoto wako shida hata kuishi kwa raha,maana hata kama akifanya jambo lolote,wenzake watatumia picha yako kumuonyesha ujinga uliokuwa mkifanya.
Acheni hizo.
Ila kama hamna mpango wa kupata watoto duniani,basi endelezeni ujinga wenu.
ILANI=siyo wote wamo katika hili.