Wasanii wa Kiume kujichubua...!

am white by nature but siupendi kabisa, nashangaa wanaoukimbilia tena wa kununua......thats what going on ma mind..
 
weyeee ujibu kesi kwanza kabla hujapewa unachotaka

Sasa mama unataka kesi iwe hapahapa na watu wanaona?Raha ya nyumba yenye maelewano hata mkikoseana mnaingia chumbani mnayamaliza mkitoka huko yamekwisha na ndio maana nikatafuta sababu ya kukuitia chumbani.
 
nimekubali waubaniii,ndio maana nakupenda
 
Sasa mama unataka kesi iwe hapahapa na watu wanaona?Raha ya nyumba yenye maelewano hata mkikoseana mnaingia chumbani mnayamaliza mkitoka huko yamekwisha na ndio maana nikatafuta sababu ya kukuitia chumbani.
?????????????nyauuu?????
 
mbona mipete ya jk hamuisemi? au na yeye dili?
 
Huyo hajajichubua amepaka poda kwa ajili ya upigaji picha si unajua mambo ya make-ups huleta muonekana mzuri...Hata watangazaji wa TV hupaka make-ups pia. Ila kwa Kanumba na Ray nitakubaliana nawe.
 
View attachment 20320
Mhafidhina, nimeikuza kidogo jamaa aonekane vizuri!

Kusema ukweli, mimi nikikutana na mwanaume anayefanana na mwanamke... nikiwa na maana kwamba, labda amesuka, kavaa hereni, na mengineyo yanayofanana na hayo.... huwa nampa ZERO! kwangu mimi mwanaume inabidi awe mwanaume ..sio tunafanya mashindano ndani ya nyumba!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…