Wasanii wa kizazi kipya waanza kampeni Kura ya "NDIYO" Katiba mpya Zanzibar

katiba ni makubaliano ya wananchi wenyewe wanataka waishi vipi sasa ni nani anayeweza kugharamikia kampeni ya kura ya ndio kwa maana wananchi wanatakiwa wasome waone kama katiba imeweka vizuri mazingira yao jinsi wanavyotaka waishi basi wanapiga ndio na kama kuna jambo halijakaa sawa wanapiga hapana ili jambo hilo likarekebishwe.

mwimbaji wa afrika kusini luck dube alisema kulia hakusaidii hivyo watanzania kutumia nguvu yenu ya kufanya maamuzi ambayo ni kura kiupumbavu na kuishia kulalamika au kulia hakutawatasaidia.

fanya maamuzi sahihi, kama kuna jambo unadhani katika ilitakiwa kuliweka sawa piga hapana ili lirekebishwe na kama unaona umeridhika na kila kitu ndio upige yes.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…