kanyabuleza
Member
- Apr 27, 2008
- 18
- 8
Nina hasira sana na huyu jamaa anayejiita marlow ikiruhusiwa nitakuwa wa kwanza kuapload kazi zake zote za huyu fa..la
vipi na mjomba mzee wa mashairi alikuwa upande gani????????????
Jamani, acheni hasira. Wale ni watanzania wenzetu. Tusibaguane kwasababu ya siasa. Wanatafuta hela wale, na pengine walimchagua dr. Slaa.