Tetesi: Wasanii wa miondoko ya hip hop kupitea kwenye game

Dim Ray

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2019
Posts
320
Reaction score
249
Wana nguzo tano wanapambania game linalowakataa ,wengi wao target ni kupata angalau kupata views 1M+ views ,kijitangazia u king usio hata na empire ,wengne wanadiriki hata kurukia miziki isiyo na formula na kuita hip hop 🤣🤣🤣🤣🤣🤣, unakaza wakati unalala njaa na mkijiwasha nawalist
 
E bhana kule youtube Nimekutana na video za kadadaa flani anaitwa Frida Amani. Yuko super sana, ndio nimegundua leo
 
Nazan she is doing for fan kwa sababu anapenda ila out of music ni bonge la mtangazaji pa EA radio ila pia anafanya vyema katika mziki
 
Wana nguzo tano wanapambania game linalowakataa ,wengi wao target ni kupata angalau kupata views 1M+ views ,kijitangazia u king usio hata na empire ,wengne wanadiriki hata kurukia miziki isiyo na formula na kuita hip hop 🤣🤣🤣🤣🤣🤣, unakaza wakati unalala njaa na mkijiwasha nawalist
Mstari wa Nani huo?
 
Back
Top Bottom