E bhana kule youtube Nimekutana na video za kadadaa flani anaitwa Frida Amani. Yuko super sana, ndio nimegundua leo
Nazan she is doing for fan kwa sababu anapenda ila out of music ni bonge la mtangazaji pa EA radio ila pia anafanya vyema katika mzikiE bhana kule youtube Nimekutana na video za kadadaa flani anaitwa Frida Amani. Yuko super sana, ndio nimegundua leo
Products za bongo star search hizoNazan she is doing for fan kwa sababu anapenda ila out of music ni bonge la mtangazaji pa EA radio ila pia anafanya vyema katika mziki
Mstari wa Nani huo?Wana nguzo tano wanapambania game linalowakataa ,wengi wao target ni kupata angalau kupata views 1M+ views ,kijitangazia u king usio hata na empire ,wengne wanadiriki hata kurukia miziki isiyo na formula na kuita hip hop 🤣🤣🤣🤣🤣🤣, unakaza wakati unalala njaa na mkijiwasha nawalist