Wasanii wa miondoko ya HipHop mnajitambua!!! Asanteni sana.

Zumbe Kimweru

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2014
Posts
340
Reaction score
27
Ndugu... Nawapongeza sana kwa uwezo wenu wa kuelewa mambo na kuona mbali ,kwangu mna thamani kuliko fedha na tuzo za BEt au hata Mtv. Mmeonyesha ukomavu wakuitazama jamii na matarajio yake kisiasa 2015.Hongereni sana hiyo ndio maana ya mziki wa hiphop japo kuna wachache wenye elimu nzuri na ukongwe kwenye muziki wanashindwa kutambua.WEUSI, LUNDUNO ,Roma,GODZILLA e t al pongezi kwenu ntaendelea kuwasapoti na kuupenda musiki wa hiphop hapa Tanzania!!!!
 

Hahahahaha Fid Q kaperform kabisa CCM morogoro akiwa na Stamina, alikiba, shishibaby hshahahahaha hakuna cha ukomavu wala cha nini
 

hata mm nasikitika kuona wanavotumika kusiasa, nadhan wengi kwakua elimu zao ndogo na wengine wasaka tonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…