Wasanii wa Muziki waitishe Tamasha la kumbukizi ya Wasanii wenzao waliotangulia

Wasanii wa Muziki waitishe Tamasha la kumbukizi ya Wasanii wenzao waliotangulia

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Ni wazo tu, Wasanii wengi wameshatangulia mbele ya haki! Hawa waliobaki wangejiunda wakafanya tamasha la kuwakumbuka/kuwaenzi kwa kazi zao.

Pesa itakayopatikana isaidie familia zenye uhitaji za wasanii au wasanii waliobaki na wenye changamoto za kimaisha kama akina Paulina Zongo, Chid Benzi na wengine.

Wanaweza kufanya tamasha hili kwa mikoa kadhaa, faida ya pili ni kutangaza muziki wao na kuhamasisha utalii wa ndani bila kusubiri kutumiwa na wanaccm msimu wa kampeni.
 
Back
Top Bottom