Wasanii wa Nigeria Wana akili sana kuliko hawa wala ubwabwa wa kampeni huku kwetu

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wakuu

Wasanii wa Nigeria ni watu wenye akili sana ukitaka kujua hilo angalia muziki wao unavotamba dunia nzima.

Angalia nyimbo zao hata hapa Tanzania zinavopendwa hata club zinachezeka tofauti na manyimbo mengine hayaeleweki kuimba hawaimbi, wanaishia kutupigia kelele tu na kutupotezea muda wetu.

Kubwa zaidi angalia walivosimama na wananchi kwenye kutetea nchi yao dhidi ya udhalimu wanaofanyiwa, #Nigeria Music Forever In PlayList.
 
We huna akili hata ya kujiongeza... Kubwa jinga kweli wewe... Mwili tembo, akili kisoda....

Hayo maandamano huko Naijeria unajua ni nani kayaanzisha? Davido? Wizkid? Yemi Alade? Au ni msanii yupi?

We upo hapa bongo kutwa kuwalalamikia wasanii mitandaoni waingie road, waingie kufanya nini? Waanzishe maandamano kupinga nin? Hawapati stahiki zao? Wamezuiwa kufanya matamasha? Au kuna nini kinachoendelea kuwahusu wasanii?

Vipi kwani? Mbona we hatukuoni barabarani ukiandamana ili tuje kukuunga mkono?

Vumbapu kabisa hili gozi jeusi la kibongo, kila kitu wanataka tuige.. Je tungefikia hata nusu ya yanayotokea Korea Kaskazini si tungekuwa maiti sahiv?

Limtu linakazania tuandamane eti kwa vile flani kauawa, sijui huyu katekwa, mara yule kapigwa risasi.. Sasa vitu vyao personal vinatuhusu nini sisi? Tunajua lolote kwanini walifanyiwa hayo?

Mara sijui hakuna uhuru wa kuongea! Hahahaaah! Aiseee, hv nani kawafumba midomo mpaka muwe mabubu? Kwahiyo leo ni mwaka wa ngapi hujaongea?

Waacheni wasanii wafanye wanachotaka
 
Hata sasa wanafanya wanachotaka ila kwakuwalinganisha wao na wa Nigeria hawa ni Takataka
 
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Screenshot_2020-10-12-10-53-13-1.jpg
 
Hata sasa wanafanya wanachotaka ila kwakuwalinganisha wao na wa Nigeria hawa ni Takataka
Kijana tafuta kazi za kufanya,watu hawawezi kuishi kama utakavyo wewe.Wewe na wasanii hamko sawa kwakila kitu, wao ni takataka kama unavyodhani, Sasa kwanini usianzishe hayo maandamano wewe mwenye akili?

Kama utakaa kusubiri takataka ziingie barabarani Kisha wewe ndo ufate , Basi wewe ni mknd.
 
We huna akili hata ya kujiongeza... Kubwa jinga kweli wewe... Mwili tembo, akili kisoda....

Hayo maandamano huko Naijeria unajua ni nani kayaanzisha? Davido? Wizkid? Yemi Alade? Au ni msanii yupi?

We upo hapa bongo kutwa kuwalalamikia wasanii mitandaoni waingie road, waingie kufanya nini? Waanzishe maandamano kupinga nin? Hawapati stahiki zao? Wamezuiwa kufanya matamasha? Au kuna nini kinachoendelea kuwahusu wasanii?

Vipi kwani? Mbona we hatukuoni barabarani ukiandamana ili tuje kukuunga mkono?

Vumbapu kabisa hili gozi jeusi la kibongo, kila kitu wanataka tuige.. Je tungefikia hata nusu ya yanayotokea Korea Kaskazini si tungekuwa maiti sahiv?

Limtu linakazania tuandamane eti kwa vile flani kauawa, sijui huyu katekwa, mara yule kapigwa risasi.. Sasa vitu vyao personal vinatuhusu nini sisi? Tunajua lolote kwanini walifanyiwa hayo?

Mara sijui hakuna uhuru wa kuongea! Hahahaaah! Aiseee, hv nani kawafumba midomo mpaka muwe mabubu? Kwahiyo leo ni mwaka wa ngapi hujaongea?

Waacheni wasanii wafanye wanachotaka
Kuna watu wanazingua Sana mkuu.
 
Kijana tafuta kazi za kufanya,watu hawawezi kuishi kama utakavyo wewe.Wewe na wasanii hamko sawa kwakila kitu, wao ni takataka kama unavyodhani, Sasa kwanini usianzishe hayo maandamano wewe mwenye akili?

Kama utakaa kusubiri takataka ziingie barabarani Kisha wewe ndo ufate , Basi wewe ni mknd.
Wanafeli Sana mkuu. Wanadhani kila mtu anafikiria Kama wao
 
wanaojielewa ndo watampigia kura, sio nyie mnaolalama kila siku, na mkiulizwa shida nin mnabaki mmebung'aa mimacho... lengo lenu wasanii wasio na hatia waingie barabarani kwa vitu wasivyovijua ili msherehekee kwenye mitandao wanavyouawa
anza wewe na kigogo wako sh*nz
Ntombanewe.
Ej-7oLPWkAAz5wY.jpg
 
Kijana tafuta kazi za kufanya,watu hawawezi kuishi kama utakavyo wewe.Wewe na wasanii hamko sawa kwakila kitu, wao ni takataka kama unavyodhani, Sasa kwanini usianzishe hayo maandamano wewe mwenye akili?

Kama utakaa kusubiri takataka ziingie barabarani Kisha wewe ndo ufate , Basi wewe ni mknd.
Duh
 
Back
Top Bottom