sisi tuna wasanii?Ukiona jinzi kina Don Jazzy wanavyomheshimu D banj
na wasanii wote wa Nigeria wanavyopendana inatia raha sana
Juzi juzi Davido katoa wimbo mkali sana unaitwa 'if'
kumbe alieutengeneza ni Tekno...
Sijui why wasanii wetu watajaribu kuiga kwa wenzao...
nimekupenda ujueNapita
Upo sahihi Kaka, nimefurahi sana kwa bandiko hilo. Mondi alitunga ule wimbo wa mauno wa zingufuli nimesahau jina lake na kumpa Shilole, Maura na Linah wote walichomoa.Ukiona jinzi kina Don Jazzy wanavyomheshimu D banj
na wasanii wote wa Nigeria wanavyopendana inatia raha sana
Juzi juzi Davido katoa wimbo mkali sana unaitwa 'if'
kumbe alieutengeneza ni Tekno...
Sijui why wasanii wetu watajaribu kuiga kwa wenzao...
Upo sahihi Kaka, nimefurahi sana kwa bandiko hilo. Mondi alitunga ule wimbo wa mauno wa zingufuli nimesahau jina lake na kumpa Shilole, Maura na Linah wote walichomoa.
Ali wa Leo naye kapewa mistari ya Serengeti kachomoa, kutunga ndio hawezi, chuki tu.
Nashauri wajitambue na wamuheshimu Diamond. Wamuheshimu Sugu na Professor J.
asanteeemasanii Yakwetu yatabaki nyuma km mkia kila siku yanaroho za korosho sana nyoko zao
Na sio wasanii tu,, sisi watanzania kwa ujumla tuna roho mbaya!!iko mahali tumerogwamasanii Yakwetu yatabaki nyuma km mkia kila siku yanaroho za korosho sana nyoko zao
[emoji23]Huku kwetu inabidi mmoja ashushwe ili mwingine apandishwe.
Wew karembo unapita unaenda wapi?Napita
nazana hiyo avatar unafanana nayo kama sikoseiNapita