ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mleta mada una utani na Ali Kiba, au una maana gani?
adelle alifanya poa sana mwaka jana...25 ilikuwa album bora kuliko lemonade...
nashangaa kwa nini beyonce wanamshabikia kiivyo.....
Mkuu kweli kabisa i have watched the clip and like beyonce showed a genuine expression kumshukuru Adele, hata mzee mzima jigga alikua anamshangaa Adele, wenzetu wana ile ku appreciate uwezo wa mwingine hata kama amechukua tuzo kumzidi,,Katik hali ambayo wengi hawakutarajia.....Adele alionekana Akiikataa tuzo Ya Album bora ya Mwaka ya Grammy ambayo alipewa na Kusema kuwa tuzo hiyo alistahili kuichukua Beyonce!
Adele amewashangaza Wengi lakini Kwa msanii Mwenye kujitambua Ni lazima ukubari
Wasanii wa Kibongo hili ni somo kwenu Kama tuzo hukustahilii sio vibayaa ukifunguka na kusema Nani alistahili
Wabongo mbona wameanza kitambo kufanya hivyo.Katik hali ambayo wengi hawakutarajia.....Adele alionekana Akiikataa tuzo Ya Album bora ya Mwaka ya Grammy ambayo alipewa na Kusema kuwa tuzo hiyo alistahili kuichukua Beyonce!
Adele amewashangaza Wengi lakini Kwa msanii Mwenye kujitambua Ni lazima ukubari
Wasanii wa Kibongo hili ni somo kwenu Kama tuzo hukustahilii sio vibayaa ukifunguka na kusema Nani alistahili
Dah sasa ndugu bushoke kweli ...Wabongo mbona wameanza kitambo kufanya hivyo.
Bushoke aliwahi kukataa tuzo aliyopewa ya kili music awards akasema alistahili apewe Juliana ila pia aliikataa kwakuwa wimbo walioupa tuzo ulikuwa mpya haujafikisha mwaka.
Hahaha tofauti na adele kuna mwingine? Na adele hakuikataa tuzo ujue ila tu alisema anastahili beyonce mana kwake lemonde ilikuwa album bora na beyonce anamu inspire toka anaanza mziki ila mwisho wa siku aliondoka na tuzo yake.Dah sasa ndugu bushoke kweli ...
wabongo walianza kitambo?
Embu tuzungumie in present times Alikiba alivochukua tuzo tano zile sjui je wasanii hawa wa sasa hivi wakubwa kama alikiba anaweza kukataa tuzo na kua na guts kusema hadharani tena mbele ya wageni waalikwa kwamba hastahili tuzo hizo,diamond ndo anastahili ama yoyote ambae angekua anashindana nae kwenye tuzo husika??? Je ok tokea hio mnayosema ya bushoke yupi tena aliewahi kukataaa...niambie msanii mkubwa mwingine mkubwa aliekataa tuzo mbele ya msanii mkubwa mwenzie waliepambanishwa