DIZZO MTAWALA
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 240
- 767
Wasanii wengi watanzania wamejengewa dhana bila "wadau" yaani clouds au RUGE hawewezi kupata air time ya wananchi nimeandika haya baada ya kumsikiliza ruby jana wakati akiomba msamaha kupitia clouds fm lakini kwangu nakumbuka kilichomuondoa yalikuwa ni masilai tena ilikuwa fiesta mwanza na walisitisha kupiga nyimbo zake pia meneja wake akahamia kumsimamia Nandy manake Ruby alishindwa kujisimamia na kushindwa kujibrand so ishu ya nyimbo zake kutopigwa haikuwa na nguvu ya kumshusha maana radio kubwa ziko nyingi sana na sasa kuna social network ambao haina mwenyewe lakini alishindwa.
Nilichogundua wasanii wengi wameaminishwa bila fiesta hawewezi kupata pesa ndo maana ruby ndani ya mwaka bila kushiriki fiesta hali mbaya ndo maana kaamua kupiga magoti kwa wadau. .ndugu yangu TID ana nyimbo kali na Rich mavoco haipigwi clouds basi analalama balaa anaona kama wadau wa mjengoni hawampi nafasi nyimbo yake ni bure
Mwisho ni muda wa sanaaa kurasimishwa rasmi na kuwa hajira rasmi vituo vya radio ,bar kumbi zilipe mrabaha Hii itasaidia kutobebana