MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Wasanii wengi, si wa maigizo, si waimba nyimbo - uwezo hawana na hawawezi fikia levo ya waigizaji wa Kinigeria au Ghana na nchi kama South Africa.
Kilichobakia ni kujipendekeza CCM wakiamini wanaweza kuendelea ku-survive. Kwa sasa wanashindana kutoa nyimbo za kusifia Jiwe.
Si kwamba wanapenda kusifia, no, ndiyo njia ya wao kuona wanaweza ku-survive.
Waigizaji kwa sababu hawawezi kuimba, wao wamebakia kukusanywa na wakina Makonda na kulishwa chakula, basi!