Wasanii wa Tanzania mpo?

Wasanii wa Tanzania mpo?

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,782
Reaction score
3,199
Hakika mmejionea wenyewe na kutambua ccm inawenyewe kazi kubwa mlioifanya mmelamba jike ata yule ndugu yenu uwoya aliyepita tabora kachapwa bakora sasa jikiteni kwenye filamu zenu mfano mzuri mmejionea kwa Sugu na prof J
 
Jamani hivi mliona haki mtu aishi DSM awe mbunge wa viti maalum TBR nadhani wametenda tu haki!
 
afadhali maana nilikua naiwazia tbr yangu
 
ogopa sana mijisanii inayopendwa kubebwa badala ya kutumia uwezo binafsi kama pro j na sugu lazima yaaibike ona sasa wamekua toilet paper kuna mtu nilimwona kama ana uelewa mpana kama jb lakini kumbe ukubwa wa mwili sio wingi wa akili
 
Mimi nimefurahi CCM ya maghufuli haina kuuza sura, kwanza Hana maadili mbunge gani kazi kupiga picha za utupu
 
Maisha baada ya uchaguzi aendelee na movie sasa, siku ya kwenda kupiga kura alivaa kinguo cha kumuacha wazi na akaandika instagram watu waache kumshauri mavazi yake ndivo alivo hawezi kubadilika nkamuona hamnazo tena kwa kipindi kama hicho alichokua anangoja karata yake.....
 
Jamani hivi mliona haki mtu aishi DSM awe mbunge wa viti maalum TBR nadhani wametenda tu haki!

kama wema naye alivyokurupukaga. mtu uzaliwe dar ukulie dar. ubunge uende mikoani hivi kwani hamna watu? tena wa kule kule ndio wanaojua matatizo na mahitaji yao vizuri.
 
Maisha baada ya uchaguzi aendelee na movie sasa, siku ya kwenda kupiga kura alivaa kinguo cha kumuacha wazi na akaandika instagram watu waache kumshauri mavazi yake ndivo alivo hawezi kubadilika nkamuona hamnazo tena kwa kipindi kama hicho alichokua anangoja karata yake.....

tena watu walivyo na hasira nao. hata soko lao la muvi litashuka tu.
 
Ccm ni ile ile ohhh ni ile ile!!!akina baba mnasemajeeee.......tumejipangaaaa mwakaa huu wataisomaa nambaaa!!uwoya jamani umenyanganywa tonge mdomoni!!karibu kwetu ukawa!!huku watu wanavikataa viti maalum!!na bado!!!
 
kama wema naye alivyokurupukaga. mtu uzaliwe dar ukulie dar. ubunge uende mikoani hivi kwani hamna watu? tena wa kule kule ndio wanaojua matatizo na mahitaji yao vizuri.

Kweli kabisa Demba,angejuaje kweli matatizo ya kina mama wa Tabora kweli? Siko against wasanii lakini kwa hili nadhani ni sawa.
 
Hawa wanaoitwa wasanii wa bongo movie akili zao zimeshikiliwa na wale machizi wao wa Instagram wakisifiwa basi wanaona watu wote tupo kama hao machizi yao bora bhana walivyokosa masisiemu sometimes yanajitambua.
 
nilimsikia yule stive nyerere akitukana watu wa kaskazini nikashangaa katika biashara zake watu wa huko huwa hawanunui cd zake? au siasa ilimpofusha?
 
Hakika mmejionea wenyewe na kutambua ccm inawenyewe kazi kubwa mlioifanya mmelamba jike ata yule ndugu yenu uwoya aliyepita tabora kachapwa bakora sasa jikiteni kwenye filamu zenu mfano mzuri mmejionea kwa Sugu na prof J

Kwani profesa j na sugu wamepewa ubunge ? ubunge wao si wakuchaguliwa, labda ungesema jackline wolper ambaye amepewa ubunge wa viti maalumu , hahahaaaaa
 
Back
Top Bottom