Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Jamani hivi mliona haki mtu aishi DSM awe mbunge wa viti maalum TBR nadhani wametenda tu haki!
Jamani hivi mliona haki mtu aishi DSM awe mbunge wa viti maalum TBR nadhani wametenda tu haki!
Maisha baada ya uchaguzi aendelee na movie sasa, siku ya kwenda kupiga kura alivaa kinguo cha kumuacha wazi na akaandika instagram watu waache kumshauri mavazi yake ndivo alivo hawezi kubadilika nkamuona hamnazo tena kwa kipindi kama hicho alichokua anangoja karata yake.....
kama wema naye alivyokurupukaga. mtu uzaliwe dar ukulie dar. ubunge uende mikoani hivi kwani hamna watu? tena wa kule kule ndio wanaojua matatizo na mahitaji yao vizuri.
tena watu walivyo na hasira nao. hata soko lao la muvi litashuka tu.
Hakika mmejionea wenyewe na kutambua ccm inawenyewe kazi kubwa mlioifanya mmelamba jike ata yule ndugu yenu uwoya aliyepita tabora kachapwa bakora sasa jikiteni kwenye filamu zenu mfano mzuri mmejionea kwa Sugu na prof J