sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Jamaa anashoot video kali sana..nashangaa kuna kuna watu wanataka mfananisha na hanscana...
Mi kwa mwaka jana had mwaka huu bado travella nasema mkali..chupa zake jamaa sio mchezo.
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Hongera zake aiseeeNdio hivyo. Jamaa yuko serious !
Wazee wakupinga kila akifanyacho Diamond, ina maana mpaka hili linaitaji ligi wakati lipo wazi mmiliki ni Diamond platnumz.Zoom production ni ya harmonize na sio diamond
Acha uongo dogo. Nenda kwenye IG akaunt ya Diamond angalia detailsZoom production ni ya harmonize na sio diamond
Zoom production ni ya Diamond??? Hii habari mpya kabisa kwangu
Wazee wakupinga kila akifanyacho Diamond, ina maana mpaka hili linaitaji ligi wakati lipo wazi mmiliki ni Diamond platnumz.Zoom Production siyo ya Diamond ni ya Harmonize kahongwa na mzungu wake.
Wazee wakupinga kila akifanyacho Diamond, ina maana mpaka hili linaitaji ligi wakati lipo wazi mmiliki ni Diamond platnumz.
Unaleta stori za Mange, sasa hiyo Zoom imshinde Diamond wakati mwaka huu katoa milioni 108 tu kuwasaidia watu (Hawa na Sumbawanga) , hata kama unamchukia mtu si hivyo.Zoom ya Harmonize kweli
CHECK WALL YAKE INSTAGRAM:Zoom production ni ya harmonize na sio diamond
Unaleta stori za Mange, sasa hiyo Zoom imshinde Diamond wakati mwaka huu katoa milioni 108 tu kuwasaidia watu (Hawa na Sumbawanga) , hata kama unamchukia mtu si hivyo.
CHECK WALL YAKE INSTAGRAM:
diamondplatnumz
VerifiedFollowing
Chibu Dangote..!
- 7,380 posts
- 5.8m followers
- 792 following
The Rolls Royce Musician From Africa|Founder & Managing Director of Wasafi Limited / Wasafi Media & Zoom Production Company |bookplatnumz@gmail.comyoutu.be/w8eUTOYrkDM
Yale yale umekremisha.Ohooo hujamjua Diamond wewe 🤣🤣
Zoom ya Harmonize
Yale yale umekremisha.
Mimi mwenyewe najua vizuri vyombo vyote alinunua Diamond SA,naona unataka ligi ngoja tuanze.Naijua vizuri sana Zoom...Vyombo vyote hivyo Camera na vinginevyo Harmonize amepewa na mwanamke wake wa kizungu.
Kapewa pia vyombo vya band na studio ya muziki huyo Harmonize yupo vizuri sana.
Siyo kukremisha najua vizuri ninachosema.
Naijua vizuri sana Zoom...Vyombo vyote hivyo Camera na vinginevyo Harmonize amepewa na mwanamke wake wa kizungu.
Kapewa pia vyombo vya band na studio ya muziki huyo Harmonize yupo vizuri sana.
Siyo kukremisha najua vizuri ninachosema.