Wasanii wa Tanzania msione aibu kumtumia Kenny wa Zoom Production ku-shoot video zenu, eti kwa kuwa kampuni inamilikwa na Diamond !

Naijua vizuri sana Zoom...Vyombo vyote hivyo Camera na vinginevyo Harmonize amepewa na mwanamke wake wa kizungu.

Kapewa pia vyombo vya band na studio ya muziki huyo Harmonize yupo vizuri sana.

Siyo kukremisha najua vizuri ninachosema.
Hivi huyu jamaa ni wa wapi wananzengo?
 
Bado unalo lakusema juu ya madai yako?
 
Kenny ni mbaya as ulivyomsifia mwanzo.
Alafu kwa taarifa tu Kenny katoka mikononi mwa Hanscana na baba yao ndio Nisher bishoo
 
Bado unalo lakusema juu ya madai yako?
Hoja yako hasa ni ipi?! Btw, kuna kipi kipya kutoka kwenye hayo madai zaidi ya kampuni kubadili jina kutoka kuwa Zoom to Zoom-Extra?! Na hiyo Zoom-Extra ipo chini ya management ipi?! Unataka kusema ya Harmonize, au?!
 
Kumbe kuna kipi kipya kutoka kwenye hayo madai zaidi ya kampuni kubadili jina kutoka kuwa Zoom to Zoom-Extra?! Na hiyo Zoom-Extra ipo chini ya management ipi?! Unataka kusema ya Harmonize, au?!
Sijasema kokote kampuni hiyo ni ya Harmonize wewe ndiye uliyesema maneno yako haya hapa.

Yaani kampuni ya Harmonize halafu Diamond anaitangazia dunia kwamba yeye ndie Founder & Managing Director wa Zoom Production Company huku Harmo mwenyewe kanyuti tu!!!
Kampuni inaitwa Zoom Extra Production haijabadilishwa jina kilichobadilika ni rangi za logo.

Sasa tuambie Harmonize kama anaimiliki hiyo zoom iweje hamtumii Kenny kwenye video zake?
 
Basi itakuwa hukunielewa... nisome kwa vituo utaelewa nilmaanisha nini!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…